Wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania

Kisa wamekuuzia viplot vya laki tatu hujakuwa ww
 
Umeongea vizuri mno sema ndio karibu mtwara.
 
Mtoa mada ngoja nikuambie makabila poa kusini ambao hawana roho ya korosho ni Wakakua kabila la Mkapa, wamwera Kwa Pm majaliwa, na wayao

Wamakonde wapo wa pwani wanajiita Wamaraba hao Kila kitu wanajua, wambwenyenye na wavivu na wa bara hao ni wapambanaji na wabahili wapare wakasome na roho ya kwa nini, ukitaka uamini nenda kafanye bizness Newala, Tandahimba, Kitangali kama ujuhi kimamonde wateja hawafiki

Wageni wanaenda kuwekeza Ruangwa, Masasi, Nanyumbu maana hamna kujuana hizo sehemu

Wako uchidachi? wako kunengela chani, Chinduli kimeiva (hahah sijuhi kama nimepatia kidogo)
 


View: https://www.youtube.com/watch?v=aEyt8_Nigu8&list=PLcd22M-Hp6gTKHMiiARc5HSI5sffdfTBp&index=4
Zamani zetu wamakonde walikuwa wengi Dar wanalinda karibu kila sehemu. Mzee mmoja alikuwa akilewa anaimba huu wimbo. Tiende pamozi. Inaelekea alikuwa ni mtu wa Nsumbiji
 
Labda kwa mademu wao, maana wanapokea moto balaa...

View: https://youtube.com/shorts/r7Ev6u7yti8?si=-_tKakYXQdXNinq8
Wamakonde ni wavivu sana, Mkoa wa Lindi na Mtwara una ardhi nzuri sana ila ndio wanaishikilia mikia kwenye uchumi...

Hawa wanachojua ni kufanya mapenzi tu, kuoa mapema ni ujanja sana kwao, kua na wanawake wawili au zaidi ndiyo sifa kwa wanaume wakimakonde...

Kama unataka mke wa kukulelea watoto hapo umechemka, kwanza hawajui kufanya kazi ila Kama unataka vibuno hapo ndo maala pake ...
 
Mhiii ndo maana nyerere aliona mbali katupilia ukabila ..kama.comments ndo hizi
 
Wataalamu wa kukata viuno. Wachaga wakienda kule huwa hawarudi tena Moshi
 
Boss umesema wanaroga had ku~nya?
 
Boss umesema wanaroga had ku~nya?
 

Kuwekeza kule ni sehemu sahihi kama utakuwa na usalama. wao wana mambo ya ajabu ajabu sana. Lakini kwa kiasi kikubwa hawana shida na wageni
 

Duuh...mbona mkuu mmoja wa mkoa anasema ni wafanyabiashara hodari sana?
 
Wewe ndio umesema ukweli halisi, wamakua wenyewe wanawakimbia wamakonde. Umesahau uchoyo wa chakula hadi kwa familia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…