Wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania

Ila KUTITA PORINI WANAONGOZAA!!!😂😂😂
 
Sijawahi ishi na wamakonde ila Kuna jamaa mmoja nilikaa nae pori alikuwa anatega wanyama sana. Mcheshi sana ila kwenye nyama anaweza kukuta panga asee .


Hao jamaa wanakula vitu vya ajabu sana jamii ya vitoweo hadi vile ambavyo haviliwagi.
Panya, fuko, na wengine nimewasahau majina jamaa wanakula bila hiyana.
Vibudu ndio usiseme!
 

Kabisa !
Vya wote.
Kwa uchawi sasa na ushirikina ni balaa.
 
Wewe ndio umesema ukweli halisi, wamakua wenyewe wanawakimbia wamakonde. Umesahau uchoyo wa chakula hadi kwa familia zao.
Yeah nilikuwa miakaa flani huko, nikawa na rafiki yangu yeye akitoka na hindi la kuchomwa kwao alikuwa anapukuchua anaweka mfukoni hindi
Lote guz analitupa ndio anakuja kijiweni bhasi akawa anakula moja moja kuogopa kuombwa
 
Matokeo ya form four kila yakitoka kusini wanashika mkia kwenye the worse performance 10 .
Eti PM akaingilia kati kuzuia hiyo fedheha .
Sasa najiuliza hapo ametibu tatizo au ndio amelipaka mafuta kwa mgongo wa chupa ???
 
Orodha ya top ten mikoa maskini mtwara haipo au unajisemea tu bila fact? Umefika simiyu,shinyanga,Tabora n.k? Au upo form six unasubiri pepa la necta?
 
Hi
Matokeo ya form four kila yakitoka kusini wanashika mkia kwenye the worse performance 10 .
Eti PM akaingilia kati kuzuia hiyo fedheha .
Sasa najiuliza hapo ametibu tatizo au ndio amelipaka mafuta kwa mgongo wa chupa ???
yo mikoa top 10 inayofanya vizuri kitaifa ina nini cha ziada zaidi ya kuwa vibaraka vya CCM?
 
Mwambao wa Pwani ya bahari ya Hindi wako hivyo.
Hawataki kufanya kazi wala kusoma kupata elimu.
Kazi kuendeleza uchi, uchawi na ushirikina.
Hao watu wenye elimu wamesaidia nini kuipeleka nchi kimaendeleo? Zaidi ya CCM kuwaburuza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…