Wamama badirikeni kidogo

Tabu ya mashemeji hao,ni kuhisi hela yao itamegwa kwa kuliwa na huyo mjane, ni hisia mbaya sana,wangekuwa wanaweka tu ada kwenye accounti za shule husika,na za matumizi ya ndani ziwe na utaratibu maalumu,au wamfungulie biashara.
roho ya ubinafsi tu
 
Umeongea ukweli kabisa. Labda huyo mwanamke ukute ana mambo mengi ya dunia aone watoto wanampotezea muda ila kama hana mambo mengi hakuna mwanamke anayeweza kukaa mbali na wanawe na awe na amani.
Yeye anakunywa maji yanapita na hawazi
 
Wapo watu wengi wamelelewa na mama zao tu lakini walikuwa vizuri sana darasani. Na wanafanya vizuri sana kwenye maisha. Hata humu jf wapo.

Mtoto kama hana akili ni hana akili hata alelewe na baba yake.
Sawq ila malezi yanachochea
 
Hapana tafuta hakuna mtoto wa Baba alie na akili za kizombi, mitoto yenye akili za kizombi mingi imelelewa na mama au bibi upande wa mama
Kwhy bibi upande wa baba hawadekezi watoto
 
Mimi ni mwalimu. Watoto wengi ambao hawafanyi vizuri darasani wana wazazi wote na wengi wametoka maisha mazuri kwahiyo usikariri.
Hao wengi wanavyo vya kurithi sasa ww masikin usomi unataka nn
 
Tabu ya mashemeji hao,ni kuhisi hela yao itamegwa kwa kuliwa na huyo mjane, ni hisia mbaya sana,wangekuwa wanaweka tu ada kwenye accounti za shule husika,na za matumizi ya ndani ziwe na utaratibu maalumu,au wamfungulie biashara.
Walimpa mtaji kaula wotee na wanaume
 
kaka yake amesema dada yake alianza kubadilisha wanaume maana yake hakutulia, alishukuru mumewe kufa pengine
Na kwa tabia ya wanawake wanaopenda dudu huenda hata huyo mume wake ni yeye alimla kichwa
 
Wana wake bana dah! Yaani watoto wawili tu akaruhusu waondoke halafu yeye anakula bata!! Women
 
Wana wake bana dah! Yaani watoto wawili tu akaruhusu waondoke halafu yeye anakula bata!! Women
si ndio nimeshangaa, kuna single maza mmoja anakomaa na watoto wake watatu, japo yeye ni wale wanaume wanaotelekeza familia, dada wa watu kakomaa
 
Simlaumu dada,hormones ndio shida hapo,pia msiba haujatoka kichwani ndio maana kila anachoona kwake kibaya.
1: anahitaji kupata kijana/mwanaume.
2: watoto wapo mbali Kwa mama yyt hili ni ttz kwao wanapenda sn kuona watoto wapo pamoja sema hawezi ndio kinachomvuruga akili.
3: km atapata mwanassikolojia itamsaidia sana kumuweka sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…