Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh yeah binti ananipa kila kitu pesa,nguo na mapenzi wakuu mimi mtoto wa kimakonde nitake nini? Sasa
Binti kwao si haba wana pesa kama zote kumbe yale maneno ya kuwasema wachaga kwamba wana roho mbaya huu ni uongo mbona nikienda uchagani mimi naonekana kama mfalme wachaga mbarikiwe sana kwa kuniletea huyu binti yenu wa kutoka uru.
Mkuu nipo kwenye gari la mcharo naenda kutoa mahari daaa wabinti wa kichaga mko poa sana kwanza wengi ni bikra wanajitunza hasa wachaga hoyeee🥰🥰