Wamama wa kichaga na hongereeni kwa kunipa huyu binti daah! Wakuu nafwaa kwa mapenzi haya ya kichaga

Sheikh usiseme hivi. Muhammad alimuoa bi khadija alikuwa na umri mkubwa na mwenye mali. Akamtunza mtume...
Sh, wangu mada hi inahusu bint Wakichagga tuache Udini unachochea chuki, mimi nawewe Muhammad hatumjui wala hakua Mtanzania
 
Siku hizi kusagana kumekuwa jambo la wazi sana. Mpaka wanawake mnaoana? Wanaume huwa hatuwezi kuja anzisha uzi wakipuuzi kama huu.
We utakuwa msukuma tu kwahiyo unataka nije kuanzisha nyuzi za dada zako wa kisukuma ili ufurahi?
 
Sh, wangu mada hi inahusu bint Wakichagga tuache Udini unachochea chuki, mimi nawewe Muhammad hatumjui wala hakua Mtanzania
Udin ni nini? Wewe humjui. Mimi na mjua. Sijaona udini hapo we kafir
 
Stress haziondolewi hivi we Jamaa 🤣🤣🤣
Tafuta hela utoke hapo alikoolewa dada yako.
 
🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️
Shikamoo Madam Hannah ?
 
Mkuu, kila lakheli Mungu akuongoze Ila kinyume chake uwe unatupa mrejesho.

Mzee Life is the cyclolic process.
 
We jamaa kidogo leo umekuja tofauti huku MMU, Ngoja niagize Cocktail sasa 🍹🍹
 
Unajazwa kwenye mfumo ili ushiriki kikamilifu kuzalisha mali na kukuza ukwasi wa familia kabla haujarudi kwa Baba kwa kasi ya 5G.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…