Wamama wa kichaga na hongereeni kwa kunipa huyu binti daah! Wakuu nafwaa kwa mapenzi haya ya kichaga

Umekamatika.Ukizeeka utajua tu nini ni nini!
 


Kumbe huenda ndio sababu inayofanya wadada wa kichaga wameambiana miaka hii hakuna kuolewa na wanaume wa kichaga wenzao ?!
Wanaolewa na makabila hasa ya bara.
sema wanaume wa bara nao ndio wanawakomesha kwa kuzaa nje na matala.

Pia wanaume wa kichaga hawakubali kutawaliwa na mwanamke.
Na hawataki wanawake wavivu.
Ukiolewa na mchaga ni kazi muda wote hata ukiwa nyumbani .
 
WE BWANA!!... HAKUNA SHIDA,, SIKU USILETE MASHITAKA APA KWAMBA UMEPIGWA TUKIO,

Chakumemenaa
 
Hapo atakupima upepo kwanza kwa kukwambia “ Nina mimba “
Aone msimamo wako .
Akiona unaelekea anaitegesha kweli akijua utaikubali na kumuoa faster.
 
Pesa akupe mwanamke halafu uende uchagani uonekane mfalme!!
Wachaga sio wazembe hivyo wewe unaandaliwa kutolewa kafara, stuka mubwa ww
 
Kama ni mushi subiri gari litawaka muda si mrefu.
 
Karibu tena baada ya kuzaa watoto wawili utupe mrejesho...
 
Mwanzoni inakuwaga hivyo hivyo,
Mwishoni utakuja kuwa hoi, umekata tamaa na kuchanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…