Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

Kinshasa inaizidi DSM watu mara 3 hivyo hata nyumba na biashara lazima zitakuwepo nyingi.

Kingine Kishansa inaizidi Dar Eneo kwa mbali sana
Kinshasa inaizidi dar population na ukubwa tu. Kwa maendeleo dar iko miles 100 mbele ya Kinshasa. Hapa Nazungumzia miundombinu kama barabara , huduma za afya , umeme , maji , usalama nk
Hata average income per person naona dar imeicha Kinshasa mbali sana angalia hata makazi ya watu japo dar still ni mbovu mbovu lakini Kinshasa ni mbovu haswa.
Usizuzuke na ile barabara pana na skyscrapers za kuhesabu, zunguka mitaani ujionee
Inshort Kinshasa ni moja ya miji inayonifanya kamwe nisijutie kuwa mtanzania
 
yaa umeandika jambo sahihi sana ,ingawa ni kwa mtazamo wake yeye ila ni jiji lenye majengo ya miaka ya nyuma sana
 
Mbona Dubai palikuwa jangwa zaidi kuliko hata Dodoma?

Imekuwaje leo hii pawe pazuri vile?

Tuwe tunajifunza kwa waliotuzidi maarifa na maendeleo, pia maendeleo ni utanuzi wa maeneo mengine si kila kitu kiwe eneo 1 tu la Dar tangu tupate uhuru.
Kwamba Dubai ina Stendi na Soko ambalo halitumiki kwa ujazo?
 
Empre state of mind. Jay ft Alicia Keys
 
Hapana, mastaa wao wengi wa India wanaishi Mumbai. Mji uliojengeka na wa kistaarabu. New Delhi ukipewa gari katikati ya jiji unaweza ushindwe kuendesha, honi ni nyingi hadi masikio yatakuuma.
Vihindi vilivyo vilazmishi lazima honi ziwe nyingi, watu tumeumbwa tofaut ila wahindi wameumbiwa ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…