Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

Jiji hilo linadidimia na kuzama
Wanali overwhelm, na hivi lipo pwani, inabidi waanze mikakati ya makusudi kuli evacuate kwa kuhakikisha states nyingine nazo wanatengeneza aina ya projects na jobs, business, life style, culture and taxing system kama ya New York City.
Maana kunachosababisha ile population and culture and life style ni Master Plan ya NYC, maana the rest of New York as State hazina shida
 
CNN walisema wasipochukuaa hatua miaka mia ijayo linaweza kuzama lote. Jinsi yale majengo walivyojenga hata sikuelewa ni ukiyaangali kama yamebebana hivi
 
Kama jay z alilisifu Jiji la new York kwenye ngoma yake na Alicia keys ya new York .. Mimi ni nani? Maana Kuna mahali anasema it's concrete walls were dreams are made of........ It's lights will inspire you....... If God wish in my lifetime natamani kutembelea states zile za marekani ambazo wanaziita flyover states .[emoji108][emoji108][emoji108]
 
Usiku ni kama vile watu wanetembea juu, yaani sijui ni ushamba, hata nilikuwa sielewi
 
Hongera, ulifikafikaje miji yote hiyo
 
Usiku ni kama vile watu wanetembea juu, yaani sijui ni ushamba, hata nilikuwa sielewi
Sikupingi... Maana Kuna riwaya Moja inaitwa Godfather iliyoandikwa na Mario puzo , setting yake ni kwenye hili Jiji. Hakika unaonekana ni Jiji lenye status yake sana nchini marekani na alama ya utajiri wa nchi ya marekani [emoji108][emoji108][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…