Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

Wanali overwhelm, na hivi lipo pwani, inabidi waanze mikakati ya makusudi kuli evacuate kwa kuhakikisha states nyingine nazo wanatengeneza aina ya projects na jobs, business, life style, culture and taxing system kama ya New York City.
Maana kunachosababisha ile population and culture and life style ni Master Plan ya NYC, maana the rest of New York as State hazina shida
Usikariri mkuu USA sio km bongo
 
Kuna jambo nimeamua kushea kidogo humu.

Kwa kazi yangu nashukuru Mungu nimetembea tembea kidogo katika majiji mengi makubwa duniani.

Nilipofika New York Marekani, aisee lile jiji ni zuri sana. Wiki mbili nilizokaa niliziona chache sana. Wenyeji wangu walinitembeza sana, nilienjoy mno, nilikuwa na wakati mzuri sana. (Naamini kuna siku nitaruri tena).

Nilimelitaja jiji la New York kuwa zuri sana nikilinganisha na majiji niliyowahi kufika ingawa yote sikuwahi kukaa zaidi ya mwezi. (Unaweza kupingana na mimi kwa majiji ambayo umewahi kufika mimi sijawahi)

Majiji yenyewe ni haya:

Afrika.
Bujumbura(Burundi), Nairobi, Kisii na Kisumu(Kenya), Blantyre, Karonga, Mzuzu, Zomba na Lilongwe(Malawi), Maputo, Cabo Delgado, Tete na Chimoio (Msumbiji), Luanda na Calulo (Angola), Kinshasa na Lubumbashi (DR Congo), Johannesburg((Afrika Kusini)

Ulaya
Frankfurt na Berlin (Ujerumani), London (England), Helsinki(Finland), Paris (Ufaransa)

Midlle East
Beirut (Lebanon)

Asia
Hon Kong na Beijing (China), Seoul (Korea Kusini), New Delhi na Mumbai (India)

Latin America
Huku sikufika katika nchi tano tu (Argentina, Paraguay, Uruguay, Chile na Venezuela) zingine zote nimefika

North Amerika
Marekani(New York)

Hitimisho langu, katika majiji yote hayo niliyofika mimi, kwakweli nakiri kabisa, New York ni JIJI haswa.

Halafu kwa jiji la Kinshasa kule DR Congo kwangu mimi binafsi Dar es Saalam bado tuko nyuma sana. Kabla hujafika ukisia mambo ya vita ya Congo unaweza kudhani Kinshansa ni kajiji tu kahovyo, lakini aisee, nalo ni jiji kweli kweli.
Kuna wenzako huku wanapinga mji wa Dodoma kujengwa.
 
Daah umeongelea Helsinki (Finland) umenitamanisha sana mkuu, ni kati ya majiji ambayo huwa natamani sana nifike, pamoja na Dublin (Ireland) napo

Nakuunga mkono mkuu, binafsi majiji ninayoona mazuri kwa North America na Europe ni New York, Los Angeles, Las Vegas (US), Toronto (Canada), London (UK), Oslo (Norway), Paris (France), Stockholm (Sweden), Geneva (Switzerland), Munich (Germany) et al

Ni vizuri kusafiri na kubadili mazingira pale unapopata nafasi, binafsi hii ndio passion yangu, naonaga bila kusafiri maisha yangu hayana furaha timilifu
 
Kuna jambo nimeamua kushea kidogo humu.

Kwa kazi yangu nashukuru Mungu nimetembea tembea kidogo katika majiji mengi makubwa duniani.

Nilipofika New York Marekani, aisee lile jiji ni zuri sana. Wiki mbili nilizokaa niliziona chache sana. Wenyeji wangu walinitembeza sana, nilienjoy mno, nilikuwa na wakati mzuri sana. (Naamini kuna siku nitaruri tena).

Nilimelitaja jiji la New York kuwa zuri sana nikilinganisha na majiji niliyowahi kufika ingawa yote sikuwahi kukaa zaidi ya mwezi. (Unaweza kupingana na mimi kwa majiji ambayo umewahi kufika mimi sijawahi)

Majiji yenyewe ni haya:

Afrika.
Bujumbura(Burundi), Nairobi, Kisii na Kisumu(Kenya), Blantyre, Karonga, Mzuzu, Zomba na Lilongwe(Malawi), Maputo, Cabo Delgado, Tete na Chimoio (Msumbiji), Luanda na Calulo (Angola), Kinshasa na Lubumbashi (DR Congo), Johannesburg((Afrika Kusini)

Ulaya
Frankfurt na Berlin (Ujerumani), London (England), Helsinki(Finland), Paris (Ufaransa)

Midlle East
Beirut (Lebanon)

Asia
Hon Kong na Beijing (China), Seoul (Korea Kusini), New Delhi na Mumbai (India)

Latin America
Huku sikufika katika nchi tano tu (Argentina, Paraguay, Uruguay, Chile na Venezuela) zingine zote nimefika

North Amerika
Marekani(New York)

Hitimisho langu, katika majiji yote hayo niliyofika mimi, kwakweli nakiri kabisa, New York ni JIJI haswa.

Halafu kwa jiji la Kinshasa kule DR Congo kwangu mimi binafsi Dar es Saalam bado tuko nyuma sana. Kabla hujafika ukisia mambo ya vita ya Congo unaweza kudhani Kinshansa ni kajiji tu kahovyo, lakini aisee, nalo ni jiji kweli kweli.
Duh ,uko vzr, big up sana
Mweee kumbe mi hamna kitu sijatembea bado loooo🙆🤭
Napenda adventure,Mungu nisaidie
 
Back
Top Bottom