Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

Mkuu ungetuekea na tupicha picha ukiwa huko NYC
 
Majiji hujijenga yenyewe kulingana na uhitaji wa vitu na watu.
Stendi na Soko la Dodoma ni mfano mzuri wa upotevu wa pesa
Mbona Dubai palikuwa jangwa zaidi kuliko hata Dodoma?

Imekuwaje leo hii pawe pazuri vile?

Tuwe tunajifunza kwa waliotuzidi maarifa na maendeleo, pia maendeleo ni utanuzi wa maeneo mengine si kila kitu kiwe eneo 1 tu la Dar tangu tupate uhuru.
 
Nilipata ya fursa ya kusafiri hadi KINSHASA mazee ile jiji hakuna east africa hii inasogea..nairobi ikasome mbali sana!!
Kule azam ice cream kwa ela ya kibongo ile ukwaju inauzwa elfu3..
Yaani kuna nchi unafika unashangaa.
Kuna maeneo mengi nimetembea na kuishi.hakuna umbea wala watu hawakupi siri ya nchi yao haijalishi maisha wanaishi ni magumu sana na ufisadi umetamalaki..
Hukuti watu wanaongelea siasa kabisa kama huku bongo!!bongo hata ukipanda daladala ukianza tuu kusema HII NCHI KILA MTU ANALAMBA ASALI utapata ushabiki sana.ila kuna sehemu hii hii africa ukisema hivyo kila mtu atakushangaa hadi unajishtukia
 
Nipo hapa hapa Seoul, wiki ijayo jumanne ntaelekea New York hivyo nitaleta mrejesho. Kuweni wapole
 
Hakika ipo siku tutakutana huko Los Angeles tupige selfie [emoji1702]
Huwa najivunia nimeshatembea duniani kwa kufika majiji ya Bongo Dar, Tanga, Arusha, Zoo.

Kenya Nairobi, Kisumu na mji wa Nakuru kumbe ni sawa na 0.001 kwa wanaoishi kama Mleta mada [emoji847]

Ila Mheshimiwa JK kaiishi hii dunia Wakuu, sidhani kuna jiji katika sayari hii hajakanyaga daaah...hao ndiyo waliobarikiwa sasa [emoji119][emoji4]
 
Mabibi na mabwana, hii ni New York.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…