Wamarekani waandamana Washington wakipinga Marekani kudhamini vita ya Ukraine, wampongeza Putin kuwa ni mzalendo

Wamarekani waandamana Washington wakipinga Marekani kudhamini vita ya Ukraine, wampongeza Putin kuwa ni mzalendo

Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na kudhamini vita nje ya nchi.

Wamarekani hao pia walipaza sauti zao wakisema kuwa rais Putin si mtu mbaya kama anavyochafuliwa na US+NATO. "Putin ni rais mzalendo wa nchi yake, tunawahitaji kina Putin wengi zaidi, Marekani pia yawahitaji kina Putin wengi". Waliongea waandamanaji hao.

Waandamanaji hao pia wamelaani serikali ya Marekani kufuja pesa za walipa kodi wa nchi hiyo (USA) kwa kudhamini vita ya Ukraine wakati walipakodi hao hawanufaiki kwa chochote na vita hivyo zaidi ya kuteseka na kupanda kwa gharama za wese na maisha kwa ujumla.

======

View attachment 2525781
View attachment 2525782
View attachment 2525783View attachment 2525785
View attachment 2525786

Huo ndiyo mtazamo wa wananchi walio wengi wa ulaya na Marekani. Lakini sema Western media kama kawaida yao hawezi kutangaza habari kama hizi.
 
Sijakuelewa mkuu
namaanisha ushoga haumaanishi uwe na asili ya marekani sa hvii chuga na tanga kuna wasawhili lakini wanafanya huu usheani pia marekani inatumia uwezo wake kwa mfumo direct orders au kupitia taasisi ambazo zimewekwa kama fronts lakini nyuma ni hao hao
 
Huo ndiyo mtazamo wa wananchi walio wengi wa ulaya na Marekani. Lakini sema Western media kama kawaida yao hawezi kutangaza habari kama hizi.
Bro mbona sisi tupo wengi Compton na mahomie,s wengi all over states na hatuna mtazamo huo.Wewe ushawahi kukaa marekani na ulaya mpaka utusemee wakazi wa huku mkuu???Au unasemea wananchi gani mkuu??
 
namaanisha ushoga haumaanishi uwe na asili ya marekani sa hvii chuga na tanga kuna wasawhili lakini wanafanya huu usheani pia marekani inatumia uwezo wake kwa mfumo direct orders au kupitia taasisi ambazo zimewekwa kama fronts lakini nyuma ni hao hao
Marekani inatumia mfumo wake kufanyaje mkuu??
 
Marekani huwez ifananisha ni nchi yyte kule uhuru ni mkubwa sana, hata ww bwana wako akikunyima unyumba unaruhusiwa kuandamana na polisi watakusindikiza kwa Usalama zaid ila Urusi hayo mambo ya maandamano huwez sikia maana hakuna uhuru ni mbinyo kwenda mbele ww unafikir hao raia wa Urusi wanaofariki huko Ukraine Frontline ndugu zao hawaumii? Wanatumia sana lakin hawana jinsi maana Putin akiamua hakuna wa kumpinga so hamuwez kuandamana Wala kupaza sauti zenu popote.
Upo sahih kule uhuru ni mkubwa sana na ndio maana mtu akiwa na mastres yake anaenda dukan ananunua bunduk na kwenda kwenye halaik ya watu na kumwaga mmwaanyu
 
Back
Top Bottom