Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Madogo wanawapondea wamarekani huku wanategemea google ya wamarekani.Alafu usikute simu na website unayotumia , vimetokana na huyo shoga unayemsemea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madogo wanawapondea wamarekani huku wanategemea google ya wamarekani.Alafu usikute simu na website unayotumia , vimetokana na huyo shoga unayemsemea
kuwa shoga ni maatizo na upumbavu wa mtu this whole world inakimbizwa na mmarekani directly na indirecltlyMadogo wanawapondea wamarekani wakati hati hii jamii forum na google ni za wamarekani
Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na kudhamini vita nje ya nchi.
Wamarekani hao pia walipaza sauti zao wakisema kuwa rais Putin si mtu mbaya kama anavyochafuliwa na US+NATO. "Putin ni rais mzalendo wa nchi yake, tunawahitaji kina Putin wengi zaidi, Marekani pia yawahitaji kina Putin wengi". Waliongea waandamanaji hao.
Waandamanaji hao pia wamelaani serikali ya Marekani kufuja pesa za walipa kodi wa nchi hiyo (USA) kwa kudhamini vita ya Ukraine wakati walipakodi hao hawanufaiki kwa chochote na vita hivyo zaidi ya kuteseka na kupanda kwa gharama za wese na maisha kwa ujumla.
======
View attachment 2525781
View attachment 2525782
View attachment 2525783View attachment 2525785
View attachment 2525786
Hawa madogo mpaka elimu yao ni ya kizungu afu wanaponda wazungukuwa shoga ni maatizo na upumbavu wa mtu this whole world inakimbizwa na mmarekani directly na indirecltly
Kwani wamarekani wa JF wanasemaje?
namaanisha ushoga haumaanishi uwe na asili ya marekani sa hvii chuga na tanga kuna wasawhili lakini wanafanya huu usheani pia marekani inatumia uwezo wake kwa mfumo direct orders au kupitia taasisi ambazo zimewekwa kama fronts lakini nyuma ni hao haoSijakuelewa mkuu
Bro mbona sisi tupo wengi Compton na mahomie,s wengi all over states na hatuna mtazamo huo.Wewe ushawahi kukaa marekani na ulaya mpaka utusemee wakazi wa huku mkuu???Au unasemea wananchi gani mkuu??Huo ndiyo mtazamo wa wananchi walio wengi wa ulaya na Marekani. Lakini sema Western media kama kawaida yao hawezi kutangaza habari kama hizi.
Marekani inatumia mfumo wake kufanyaje mkuu??namaanisha ushoga haumaanishi uwe na asili ya marekani sa hvii chuga na tanga kuna wasawhili lakini wanafanya huu usheani pia marekani inatumia uwezo wake kwa mfumo direct orders au kupitia taasisi ambazo zimewekwa kama fronts lakini nyuma ni hao hao
Bro mbona sisi tupo wengi Compton na haruna mtazamo huo.Wewe ushawahi kukaa marekani na ulaya mpaka utusemee wakazi wa huku mkuu???
to run the world its funny watu wanvyojazana ujinga huku kwetu kudhani wanaweza kukimbia mkono wa hawa jamaaMarekani inatumia mfumo wake kufanyaje mkuu??
which street ??Sawa kabisa nato wakawa.
Mm nipo marekani kitambo tu naona kama wana wivu tu hakuna lolote.to run the world its funny watu wanvyojazana ujinga huku kwetu kudhani wanaweza kukimbia mkono wa hawa jamaa
which street ??
Ukiwa mtu wa kulisikilizia sana tungi lazima dish liyumbeOut of topic.
Ukienda kusoma Urusi kuna hati hati kurudi ukiwa mtambo.
Upo sahih kule uhuru ni mkubwa sana na ndio maana mtu akiwa na mastres yake anaenda dukan ananunua bunduk na kwenda kwenye halaik ya watu na kumwaga mmwaanyuMarekani huwez ifananisha ni nchi yyte kule uhuru ni mkubwa sana, hata ww bwana wako akikunyima unyumba unaruhusiwa kuandamana na polisi watakusindikiza kwa Usalama zaid ila Urusi hayo mambo ya maandamano huwez sikia maana hakuna uhuru ni mbinyo kwenda mbele ww unafikir hao raia wa Urusi wanaofariki huko Ukraine Frontline ndugu zao hawaumii? Wanatumia sana lakin hawana jinsi maana Putin akiamua hakuna wa kumpinga so hamuwez kuandamana Wala kupaza sauti zenu popote.
Kumbe Melo na yule mwenzie ni wamarekan???Madogo wanawapondea wamarekani wakati hata hii jamii forum na google ni za wamarekani
Mkuu tumia""Tafsida""utapigwa ban🤣🤣🤣🤣!!!!.Kumbe Melo na yule mwenzie ni wamarekan???
Hata AIDS na covid-19 hao hao mashoga ndio wametengenezaAlafu usikute simu , website , internet unayotumia , vimetokana na huyo shoga unayemsemea
Kuuumbe!!! Lkn nilimkwait jamaa aliyesema kuwa gogo na jamii foram ni mali ya wamarekan ndio nikastaajabMkuu tumia""Tafsida""utapigwa ban[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!!.