Wamarekani wanajadiliana uchafu hadharani kwenye baraza lao la seneti: Wanajadili kuhusu haki za wanaume kutoa mimba

Wamarekani wanajadiliana uchafu hadharani kwenye baraza lao la seneti: Wanajadili kuhusu haki za wanaume kutoa mimba

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Unaweza usiamini lakini nndivyo ilivyo.

Heated debate in US Senate erupts over abortion rights for men​

A Republican senator who doesn’t believe men can get pregnant was called “transphobic”


1657808124864.png


Huyo hapo juu ni "mwanamume" anapigania uhuru wa kutoa mimba!! Iko hivi, mwanamke anaweza kuamua tu kutangaza kuwa tangu sasa yeye ameamua kuwa mwanamume!! Kuna ambao huamua kuwa wanaume kisha hufanyiwa upasuaji wa kuondoa mayai/overies, tumbo la uzazi/uterus na mirija ya uzazi/fallopian tubes, na kupewa vichocheo/hormones za kiume na kupandikiziwa uume wa plastic baada ya kuzibwa seheme ya uke!! Hao hawawezi kubeba mimba tena.

Lakini kuna ambao huamua tu kuwa wanaume lakini hawataki kufanyiwa upasuaji lakini hutumia vichocheo vya kiume na sauti zao kuwa za kiume. Lakini hawa wakitaka kupata watoto huacha kutumia vichocheo vya kiume hutumia tena vichocheo vya kike na "kutembea" na mwanamume halisi na kupata mimba!!

Hawa ndio wanadai haki ya kutoa mimba kama wakihitaji kufanya hivyo!! Na ukiwapinga wanaona wewe ni transphobic yaani unaogopa au kuchukizwa na watu waliobadili jinsia hivyo kuonekana adui na mpinzani wa "haki za binadamu".

Wanaume hawa feki (maana kwa asili ni wanawake) huoa wanawake wanzao au wanaume wenzao walioamua kuwa "wanawake". Kwenye hiyo ndoa chafu "mwanamume" ndo huamua kubeba mimba!! Halafu watu wazima na akili zao huongea uchafu huo hadharani kwenye baraza la seneti!!

Tunaposema tujihadhari na misaada ya nchi za magharibi muwe mnatuelewa, ili tusishinikizwe kufikia ufirauni huo!!!
 
kuanguka kwa mataifa yalifikia hatua kubwa duniani kilele chake huwa ni machukizo.
 
Back
Top Bottom