Uchaguzi 2020 Wamarekani wanasema Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Udanganyifu

Uchaguzi 2020 Wamarekani wanasema Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Udanganyifu

Salum s g

Member
Joined
Sep 5, 2020
Posts
20
Reaction score
42
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili.

FB_IMG_16040379548463126.jpg
 
Uchanguzi umekwisha, demokrasia ya Kiafrika imechukua mkondo wake, tukubali matokeo hakuna namna. Miezi kama mitatu ya campaign kujuzana ukweli imemalizika. Sasa! Sasa! Sasa! tuchunge vidole na midomo yetu.

Tunayo miaka mitano ya Kunyamaza then 2025 tunakutana tena kuongea. Uchanguzi ni wako Kuongea au Kunyamaza. Sio Wapinzani tu Bali hata walioshinda Watakinywea/Wataenjoy.. Time will tell... "Development is all about contradiction".
 
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili

View attachment 1615797
Kwenye kichwa cha habariyako hapo juu umeandika "WAMEREKANI" ndio akinanani hao wamerekani.
 
Unajua wazungu should not be commenting chaguzi za africa, TRUMP mwenyewe ringed the election walimfanya nini?

Trump had racism policy OPENLY wamemfanya nini?

They have no mandate and legitimacy kunyoosha kidole za chaguzi zingine.
 
uchanguzi umekwisha, Democrasia ya Kiafrica imechukua mkondo wake, tukubali matokeo hakuna namna.Miezi kama mitatu ya campaign kujuzana ukweli imemalizika. Sasa! Sasa! Sasa! tuchunge vidole na midomo yetu. Tunayo miaka mitano ya Kunyamaza then 2025 tunakutana tena kuongea. Uchanguzi ni wako Kuongea au Kunyamaza. Sio Wapinzania tu Bali hata walioshinda Watakinywea/Wataenjoy.. Time will tell... "Development is all about contradictio".

'Uchanguzi' ndio huu unaitwa Uchafuzi?
 
Uzuri wa Uchaguzi wa Tanzania unaweza kuhakiki kura moja moja hadi kura za uchaguzi wote, kila kitu kipo wazi! Tunawakaribisha waje wahakikishe, ila wawe na akiba ya maneno maana huko kwao kura za mgombea urais zinaokotwa kwenye majalala!
 
Watanzania hatutaki shobo, tumemchagua magufuli kwa kura zetu wenyewe
 
Ujumbe huu wa wamarekani ni faraja sana kwa walioangukia pua! Ni kama ile faraja ya wimbo wa msibani : Allelluya tutaonana, alleluya tutaonana mbinguni kwa Bwana ....(huku moyoni unapata faraja wakati hata kuko mbinguni hujui ni wapi na hujui kama iliwahi kutokea watu wakaonana!)
 
Bila tume huru, sitegemei kwenda kupiga kura. Kwa sasa tusubiri kibano kutoka kwa mabeberu.
 
Uzuri wa Uchaguzi wa Tanzania unaweza kuhakiki kura moja moja hadi kura za uchaguzi wote, kila kitu kipo wazi! Tunawakaribisha waje wahakikishe, ila wawe na akiba ya maneno maana huko kwao kura za mgombea urais zinaokotwa kwenye majalala!
Wakati huo zile kura halali za wapinzani zishachomwa moto.zitazohesabiwa in hizo fake.
Usidhani unaishi Tanzania pekee yako,hata sisi tunaijua Tanzania na ccm vizuri.tulikuwa pia ccm ujue sisi.
 
Uchanguzi umekwisha, demokrasia ya Kiafrika imechukua mkondo wake, tukubali matokeo hakuna namna. Miezi kama mitatu ya campaign kujuzana ukweli imemalizika. Sasa! Sasa! Sasa! tuchunge vidole na midomo yetu. Tunayo miaka mitano ya Kunyamaza then 2025 tunakutana tena kuongea. Uchanguzi ni wako Kuongea au Kunyamaza. Sio Wapinzani tu Bali hata walioshinda Watakinywea/Wataenjoy.. Time will tell... "Development is all about contradiction".
Nakuona mtumwa unayefurahia utumwa wako.
 
Tatizo kauli zao zinaishia kwenye tweeter tu. Ndiyo maana akina Kagame , Denis Sesungweso, Mseven, Paul Biah, na wengine wengi wanaendelea kudunda tu.
Mkuu upo? Pole sana! Naona umepunguza speed baada ya watanzania kuamua kuwa ushindi wa JF na na Twitter sio wa kuamini!
 
Uzuri wa Uchaguzi wa Tanzania unaweza kuhakiki kura moja moja hadi kura za uchaguzi wote, kila kitu kipo wazi! Tunawakaribisha waje wahakikishe, ila wawe na akiba ya maneno maana huko kwao kura za mgombea urais zinaokotwa kwenye majalala!
Kutoka Mtwara hadi mkoa wa Mara angalia ajabu la dunia!angalia mwenyewe uongee utumbo tena
FB_IMG_16040295026081167.jpg
 
Wakati huo zile kura halali za wapinzani zishachomwa moto.zitazohesabiwa in hizo fake.
Usidhani unaishi Tanzania pekee yako,hata sisi tunaijua Tanzania na ccm vizuri.tulikuwa pia ccm ujue sisi.
Unjua kujiliwaza...wakala wako alikuwa amepewa dawa za usingizi wakati kura za kamanda Mbowe aka Waziri mkuu ajaye zinachomwa moto!
 
Back
Top Bottom