#UCHAGUZITANZANIA: Hakuna udanganyifu, hata wakitaka kuhakiki na kujua nani kampigia nani watathibitisha hilo maana kila karatasi ya kupigia kura iliandikwa namba ya kitambulisho cha mpiga kura aliyeenda kituoni akahakikiwa na wasimamizi mbele ya mawakala wa kila chama. Ukiona WaMarekani wanapiga kelele sana uchaguzi wa nchi fulani na kuonesha mtu waliyemtaka kupoteza ujue makapuni yao binafsi hayatafanikiwa kupata kile walichoteta na mtu wao kabla. Ufadhili waliompatia mtu wao wamdai huyo mtu sio kuhamishia hasira zao kwa matakwa ya WaTanzania. Mwanadiplomasia huwezi kuandika ".....Tanzania's leaders must be held accountable..." Wewe ni nani kutusemea, una uchungu gani na Tanzania na watu wake? It is high time this behaviour by a few persons anticipating for personal advancement through the Tanzanian general election stop interferring the internal affairs of the country as the international laws prescribes. It is more than sufficient to have thsi evil plot by external agents pressurizing the country to kneel down in compliance to their immoral condictions.