Uchaguzi 2020 Wamarekani wanasema Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Udanganyifu

Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili

View attachment 1615797
Ngoja tusubiri na uchaguzi wao muda si mrefu. Watuache na shida zetu wafanye yao.
 
Wananchi wametekeleza haki zao vizuri la Polisiccm wakurugenziccm NECCCM Tumeccm vyombo binafsi vya CCM wamepora Nchi kwa njia haramu za kishetani
Huna ujualo wewe, upinzani wenu wa mitandaoni ni tatizo kubwa Sana, tena nyinyi watu wa mitandaoni ndio tatizo kubwa Sana! Ni watu wachochezi tu na hakuna mnachoshughurika nacho

Si Kupiga kura Wala nini
 
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili.

Hawa wanasema sema tu na kusema kwao hakusaidii lolote maana hata mwaka ule walisema sema kama hivi tu.
 
Unajua wazungu should not be commenting chaguzi za africa, TRUMP mwenyewe ringed the election walimfanya nini?

Trump had racism policy OPENLY wamemfanya nini?

They have no mandate and legitimacy kunyoosha kidole za chaguzi zingine.
Not to this extent
 
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili.

Hawa siyo leader ni watawala. Waandike waseme watawala wawajibike.

Wasituwekee vikwazo sisi, wamkamate muhusika na watu wake ndio wawajibushwe, sisi wananchi hatuhusiki.
 
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili.

Hata wa kwao pia ulikua na udanganyifu waambie hao mashoga waache kufata fata wanaume wa tanzania hatupigi mashoga sisi
 
Hahaha
EltZtB1W0AA1U4w.jpg

Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili.

Wakapambane na yao.. mabeberu nchi yetu wajue hawatachuma tena kama vile ni shamba la bibi..

Magufuli oyeeeeeee💛💚💛💚💛
 
Unajua wazungu should not be commenting chaguzi za africa, TRUMP mwenyewe ringed the election walimfanya nini?

Trump had racism policy OPENLY wamemfanya nini?

They have no mandate and legitimacy kunyoosha kidole za chaguzi zingine.
Trump kaingia kihalali kwa kushinda College votes lakini ameshindwa kwenye popular votes.
 
Hata wa kwao pia ulikua na udanganyifu waambie hao mashoga waache kufata fata wanaume wa tanzania hatupigi mashoga sisi
Wewe uliwajuaje kama mashoga,ha ha ha unaisifia mvua hawakukufikisha kileleni. Nauliza tu.
 
Unajua wazungu should not be commenting chaguzi za africa, TRUMP mwenyewe ringed the election walimfanya nini?

Trump had racism policy OPENLY wamemfanya nini?

They have no mandate and legitimacy kunyoosha kidole za chaguzi zingine.
Huna namna wewe acha kujifariji yaani digidigi amnyooshee kidole Simba(kama kipo)iambie serikali imjibu huyo kama ina ubavu,bila hao tunaowabadilishia majina mara wadau wa maendeleo, wakitukosoa tunawaita mabeberu, maendeleo yetu yataingia kwenye mtihani mkubwa.
 
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili.

Corona inawasumbua wasitusumbue sisi kwa vineno vineno vineno
 
Wewe uliwajuaje kama mashoga,ha ha ha unaisifia mvua hawakukufikisha kileleni. Nauliza tu.
Kama mama ako alifika kileleni na ukazaliwa ww taahira ambae unapata hata muda wa ku post habari za mashoga wenzio basi hata ww utafikishwa tu ila jua sisi hatupigi mashoga
 
Back
Top Bottom