paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Kupiga kura hampigi, lakini haohao ndio wa Kwanza Kupiga keleleUlikuwa sio wizi bali ujambazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupiga kura hampigi, lakini haohao ndio wa Kwanza Kupiga keleleUlikuwa sio wizi bali ujambazi
Siasa zimeisha sasa. Kile kulikuwa kipindi cha kamapeni ilikuwa ni lazima watu tugawanyike kila mtu ashabikie anachokiqmini.Mkuu upo? Pole sana! naona umepunguza speed baada ya watanzania kuamua kuwa ushindi wa JF na na tweeter sio wa kuamini!
Ukiwa na afya na hela ya kula unapata ujasiri wa kusema chochoteUjumbe huu wa wamarekani ni faraja sana kwa walioangukia pua! Ni kama ile faraja ya wimbo wa msibani : Allelluya tutaonana, alleluya tutaonana mbinguni kwa Bwana ....(huku moyoni unapata faraja wakati hata kuko mbinguni hujui ni wapi na hujui kama iliwahi kutokea watu wakaonana!)
#UCHAGUZITANZANIA: Hakuna udanganyifu, hata wakitaka kuhakiki na kujua nani kampigia nani watathibitisha hilo maana kila karatasi ya kupigia kura iliandikwa namba ya kitambulisho cha mpiga kura aliyeenda kituoni akahakikiwa na wasimamizi mbele ya mawakala wa kila chama. Ukiona WaMarekani wanapiga kelele sana uchaguzi wa nchi fulani na kuonesha mtu waliyemtaka kupoteza ujue makapuni yao binafsi hayatafanikiwa kupata kile walichoteta na mtu wao kabla. Ufadhili waliompatia mtu wao wamdai huyo mtu sio kuhamishia hasira zao kwa matakwa ya WaTanzania. Mwanadiplomasia huwezi kuandika ".....Tanzania's leaders must be held accountable..." Wewe ni nani kutusemea, una uchungu gani na Tanzania na watu wake? It is high time this behaviour by a few persons anticipating for personal advancement through the Tanzanian general election stop interferring the internal affairs of the country as the international laws prescribes. It is more than sufficient to have thsi evil plot by external agents pressurizing the country to kneel down in compliance to their immoral condictions.Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.
Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili
View attachment 1615797
Kwa sisi watu wa teknolojia, hii hoja dhaifu sana, typos ni kitu cha kawaida sana, sio big deal kihivyo. See below.Kutoka Mtwara hadi mkoa wa Mara angalia ajabu la dunia!angalia mwenyewe uongee utumbo tena
View attachment 1615818
kama wewe ulivyokuwa unaamini watanzania wote watakufa kwa corona!Ukiwa na afya na hela ya kula unapata ujasiri wa kusema chochote
Umeshndwa kuamua,tumekuamulia sasa unalalamika nini?Bila tume huru, sitegemei kwenda kupiga kura. Kwa sasa tusubiri kibano kutoka kwa mabeberu.
Chadema au ni kwa makusudi au ni ugonjwa wao...wasipopotosha na kuzusha mambo kwao hayaendi! Jana nikaona wamempa "kura feki" zilizokamatwa nikawaza ningekuwa Lissu nisingeyaonyesha yale makaratasi kwa waandishi wa habari hadi nitafute niyachunguze kwanza maana hawa watu wanabumba kuanzia picha za kampeni za mzee Lowassa hadi matokeo kama wanavyoonyesha hapa!Kwa sisi watu wa teknolojia, hii hoja dhaifu sana, typos ni kitu cha kawaida sana, sio big deal kihivyo. See below.
View attachment 1615841
Milele daima......yaani nisimame foleni masaa zaidi ya matatu...ili iweje?Bila tume huru, sitegemei kwenda kupiga kura. Kwa sasa tusubiri kibano kutoka kwa mabeberu.
Uchaguzi upi? Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika bali CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetaniUchanguzi umekwisha, demokrasia ya Kiafrika imechukua mkondo wake, tukubali matokeo hakuna namna. Miezi kama mitatu ya campaign kujuzana ukweli imemalizika. Sasa! Sasa! Sasa! tuchunge vidole na midomo yetu. Tunayo miaka mitano ya Kunyamaza then 2025 tunakutana tena kuongea. Uchanguzi ni wako Kuongea au Kunyamaza. Sio Wapinzani tu Bali hata walioshinda Watakinywea/Wataenjoy.. Time will tell... "Development is all about contradiction".
Tayari yameguswa subiria manuali na nyambizi zipo njiani zinakuja na drone kibao na Ndege zisizo na rubaniHao wanaangalia maslahi yao
Kama hayajaguswa hawaaingilii, utatawala mpaka uchoke mwenyewe
CCM wamepora Nchi kwa njia haramu za kishetaniHakukua na uchaguzi kulikua na mapinduzi.
Uchanguzi umekwisha, demokrasia ya Kiafrika imechukua mkondo wake, tukubali matokeo hakuna namna. Miezi kama mitatu ya campaign kujuzana ukweli imemalizika. Sasa! Sasa! Sasa! tuchunge vidole na midomo yetu. Tunayo miaka mitano ya Kunyamaza then 2025 tunakutana tena kuongea. Uchanguzi ni wako Kuongea au Kunyamaza. Sio Wapinzani tu Bali hata walioshinda Watakinywea/Wataenjoy.. Time will tell... "Development is all about contradiction".
MwogaUchanguzi umekwisha, demokrasia ya Kiafrika imechukua mkondo wake, tukubali matokeo hakuna namna. Miezi kama mitatu ya campaign kujuzana ukweli imemalizika. Sasa! Sasa! Sasa! tuchunge vidole na midomo yetu. Tunayo miaka mitano ya Kunyamaza then 2025 tunakutana tena kuongea. Uchanguzi ni wako Kuongea au Kunyamaza. Sio Wapinzani tu Bali hata walioshinda Watakinywea/Wataenjoy.. Time will tell... "Development is all about contradiction".