Uchaguzi 2020 Wamarekani wanasema Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Udanganyifu

Unjua kujiliwaza...wakala wako alikuwa amepewa dawa za usingizi wakati kura za kamanda Mbowe aka Waziri mkuu ajaye zinachomwa moto!
Polisiccm walikuwa wakiwafukuza mawakala kila mda kuwanyanyasa hakuna wakala wa upinzani alifanya kazi kwa Amani pasipo kubugudhiwa na Polisiccm
 
Unauhakika ni 5 yrs??.... Usishangae ikawa mpaka Mola atakapo ingiliia
Subiria nyambizi za USA zifike pwani ndipo tutajua kama ni miezi miwili au mitatu kufanya uchaguzi huru na wa haki
 
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili

View attachment 1615797
Naomba urekebishe hicho kichwa cha Habari kisomeke " Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa ni Udanganyifu" maana yake ni kuwa Uchaguzi mzima ulikuwa udanganyifu. Unaposema ulikuwa na udanganyifu maana yake ni baadhi tu ya sehemu
 
Waambieni hao wamarekani ,ushoga umeshindwa Tanzania
Bashite makonda alipiga kelele juu ya ushoga ni wabunge hao hao wa CCM walimpinga Bungeni wakiongozwa na kange lugola na mpaka leo hakuna wabunge wa CCM wametunga Sheria kali dhidi ya ushoga
 
Naomba urekebishe hicho kichwa cha Habari kisomeke " Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa ni Udanganyifu" maana yake ni kuwa Uchaguzi mzima ulikuwa udanganyifu. Unaposema ulikuwa na udanganyifu maana yake ni baadhi tu ya sehemu
Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika bali CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Kupiga kura hampigi, lakini haohao ndio wa Kwanza Kupiga kelele
Wananchi wametekeleza haki zao vizuri la Polisiccm wakurugenziccm NECCCM Tumeccm vyombo binafsi vya CCM wamepora Nchi kwa njia haramu za kishetani
 
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili

View attachment 1615797
Hawa mabeberu wasitupangie nchi yetu waende kwao
 
Tii sheria bila shuruti,sio kwa sababu ni kipindi cha uchaguzi ndio ukikiuka taratibu uachiwe,kwakuwa itaonekana unawakamata viongozi wa upinzani na ukiwakamata inaonekana ni ukikukwaji wa demokrasia,walipokuwa wanawakamata viongozi wa wamarekani weusi walipokuwa wakiandamana kuhusu 'Black lives matter' hawakuona kuwa wanakiuka demokrasia...?
Kwani America wakikupa msaada wa pesa huwa masikini wameisha kwao? Jibu hili swali kisha tuendelee
 
Hawa mabeberu wasitupangie nchi yetu waende kwao
CCM wakienda kuomba misaada huko marekani hupiga magoti na kuwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu unyanyasaji uonevu uovu mateso ya CCM kwa wapinzani ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Wakati huo zile kura halali za wapinzani zishachomwa moto.zitazohesabiwa in hizo fake.
Usidhani unaishi Tanzania pekee yako,hata sisi tunaijua Tanzania na ccm vizuri.tulikuwa pia ccm ujue sisi.
Mwaka 1995 nilikuwa mwangalizi wa uchaguzi chini ya IFES mkoa wa DSM. Najua kilichotokea.
Tanzania ya sasa,CCM imekuwa zaidi ya ISIS.
Uharamia na wizi uliofanyika uchaguzi huu,naamani hata shetani mwenyewe atakuwa yupo makini ili kiti chake cha "mkuu wa uovu" asipokonywe.
 
Ngoja tusubiri Nov 3, ili na sisi tutoe tamko kuhusu uchaguzi wao
Kwani wao wakikupa misaada huwa masikini kwao wameisha? Kukosolewa na yeyote si lazima mkosoaji awe ni mungu au makaika
 
Subiria nyambizi za USA zifike pwani ndipo tutajua kama ni miezi miwili au mitatu kufanya uchaguzi huru na wa haki
ahahahaha umeongea kama watoto wa darasa la pili watatu

vip zile usa minmitz zimeshafika Venezuela
 
Mwaka 1995 nilikuwa mwangalizi wa uchaguzi chini ya IFES mkoa wa DSM. Najua kilichotokea.
Tanzania ya sasa,CCM imekuwa zaidi ya ISIS.
Uharamia na wizi uliofanyika uchaguzi huu,naamani hata shetani mwenyewe atakuwa yupo makini ili kiti chake cha "mkuu wa uovu" asipokonywe.
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Mwaka 1995 nilikuwa mwangalizi wa uchaguzi chini ya IFES mkoa wa DSM. Najua kilichotokea.
Tanzania ya sasa,CCM imekuwa zaidi ya ISIS.
Uharamia na wizi uliofanyika uchaguzi huu,naamani hata shetani mwenyewe atakuwa yupo makini ili kiti chake cha "mkuu wa uovu" asipokonywe.
weka evidence ili tukuamini
 
ahahahaha umeongea kama watoto wa darasa la pili watatu

vip zile usa minmitz zimeshafika Venezuela
Wewe Mbona ni mtoto wa chekechea kwani marekani ana nyambizi moja tu? Hapo mombasa kenya zipo kibao na zingine zipo pwani ya Somalia Yemen na sehemu nyingi Duniani
 
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.

Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili

View attachment 1615797
Hii iko edited, ukisearch twittwr hamna kitu kama iko
 
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani Duniani kote wanajua hilo
 
Back
Top Bottom