Kwenye kichwa cha habariyako hapo juu umeandika "WAMEREKANI" ndio akinanani hao wamerekani.Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.
Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa. Iliripotiwa ukiukwaji mkubwa wakati wa siku ya jana ya kupiga kura na kukamatwa leo kwa viongozi wa upinzani haikubaliki hata kidogo na kumomonyoka maendeleo ya kidemokrasia ya nchi. Viongozi wa Tanzania lazima wawajibike kwa hili
View attachment 1615797
uchanguzi umekwisha, Democrasia ya Kiafrica imechukua mkondo wake, tukubali matokeo hakuna namna.Miezi kama mitatu ya campaign kujuzana ukweli imemalizika. Sasa! Sasa! Sasa! tuchunge vidole na midomo yetu. Tunayo miaka mitano ya Kunyamaza then 2025 tunakutana tena kuongea. Uchanguzi ni wako Kuongea au Kunyamaza. Sio Wapinzania tu Bali hata walioshinda Watakinywea/Wataenjoy.. Time will tell... "Development is all about contradictio".
Wakati huo zile kura halali za wapinzani zishachomwa moto.zitazohesabiwa in hizo fake.Uzuri wa Uchaguzi wa Tanzania unaweza kuhakiki kura moja moja hadi kura za uchaguzi wote, kila kitu kipo wazi! Tunawakaribisha waje wahakikishe, ila wawe na akiba ya maneno maana huko kwao kura za mgombea urais zinaokotwa kwenye majalala!
Nakuona mtumwa unayefurahia utumwa wako.Uchanguzi umekwisha, demokrasia ya Kiafrika imechukua mkondo wake, tukubali matokeo hakuna namna. Miezi kama mitatu ya campaign kujuzana ukweli imemalizika. Sasa! Sasa! Sasa! tuchunge vidole na midomo yetu. Tunayo miaka mitano ya Kunyamaza then 2025 tunakutana tena kuongea. Uchanguzi ni wako Kuongea au Kunyamaza. Sio Wapinzani tu Bali hata walioshinda Watakinywea/Wataenjoy.. Time will tell... "Development is all about contradiction".
Mkuu upo? Pole sana! Naona umepunguza speed baada ya watanzania kuamua kuwa ushindi wa JF na na Twitter sio wa kuamini!Tatizo kauli zao zinaishia kwenye tweeter tu. Ndiyo maana akina Kagame , Denis Sesungweso, Mseven, Paul Biah, na wengine wengi wanaendelea kudunda tu.
Kutoka Mtwara hadi mkoa wa Mara angalia ajabu la dunia!angalia mwenyewe uongee utumbo tenaUzuri wa Uchaguzi wa Tanzania unaweza kuhakiki kura moja moja hadi kura za uchaguzi wote, kila kitu kipo wazi! Tunawakaribisha waje wahakikishe, ila wawe na akiba ya maneno maana huko kwao kura za mgombea urais zinaokotwa kwenye majalala!
Unjua kujiliwaza...wakala wako alikuwa amepewa dawa za usingizi wakati kura za kamanda Mbowe aka Waziri mkuu ajaye zinachomwa moto!Wakati huo zile kura halali za wapinzani zishachomwa moto.zitazohesabiwa in hizo fake.
Usidhani unaishi Tanzania pekee yako,hata sisi tunaijua Tanzania na ccm vizuri.tulikuwa pia ccm ujue sisi.