Uchaguzi 2020 Wamarekani wanasema Uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Udanganyifu

Kosa lingine ni pale Vyama vya Upinzani kutokufanya utafiti wa Nani katika Vyama vyao anakubalika huko majimboni na Nani hakubaliki hata kama amekuwa ni mbunge wa Jimbo Hilo

CCM wameweza kuyafahamu hayo na kuachiana tena Kwa shangwe na Furaha!
 
Mkuu upo? Pole sana! naona umepunguza speed baada ya watanzania kuamua kuwa ushindi wa JF na na tweeter sio wa kuamini!
Siasa zimeisha sasa. Kile kulikuwa kipindi cha kamapeni ilikuwa ni lazima watu tugawanyike kila mtu ashabikie anachokiqmini.

CCM imeshinda kwa msaada wa dola basi tufanye kazi Sasa.
 
P P P Pisha njia....Another KAGAME is on the way
 
Ukiwa na afya na hela ya kula unapata ujasiri wa kusema chochote
 
#UCHAGUZITANZANIA: Hakuna udanganyifu, hata wakitaka kuhakiki na kujua nani kampigia nani watathibitisha hilo maana kila karatasi ya kupigia kura iliandikwa namba ya kitambulisho cha mpiga kura aliyeenda kituoni akahakikiwa na wasimamizi mbele ya mawakala wa kila chama. Ukiona WaMarekani wanapiga kelele sana uchaguzi wa nchi fulani na kuonesha mtu waliyemtaka kupoteza ujue makapuni yao binafsi hayatafanikiwa kupata kile walichoteta na mtu wao kabla. Ufadhili waliompatia mtu wao wamdai huyo mtu sio kuhamishia hasira zao kwa matakwa ya WaTanzania. Mwanadiplomasia huwezi kuandika ".....Tanzania's leaders must be held accountable..." Wewe ni nani kutusemea, una uchungu gani na Tanzania na watu wake? It is high time this behaviour by a few persons anticipating for personal advancement through the Tanzanian general election stop interferring the internal affairs of the country as the international laws prescribes. It is more than sufficient to have thsi evil plot by external agents pressurizing the country to kneel down in compliance to their immoral condictions.
 
Kwa sisi watu wa teknolojia, hii hoja dhaifu sana, typos ni kitu cha kawaida sana, sio big deal kihivyo. See below.

View attachment 1615841
Chadema au ni kwa makusudi au ni ugonjwa wao...wasipopotosha na kuzusha mambo kwao hayaendi! Jana nikaona wamempa "kura feki" zilizokamatwa nikawaza ningekuwa Lissu nisingeyaonyesha yale makaratasi kwa waandishi wa habari hadi nitafute niyachunguze kwanza maana hawa watu wanabumba kuanzia picha za kampeni za mzee Lowassa hadi matokeo kama wanavyoonyesha hapa!
 
Tii sheria bila shuruti,sio kwa sababu ni kipindi cha uchaguzi ndio ukikiuka taratibu uachiwe,kwakuwa itaonekana unawakamata viongozi wa upinzani na ukiwakamata inaonekana ni ukikukwaji wa demokrasia,walipokuwa wanawakamata viongozi wa wamarekani weusi walipokuwa wakiandamana kuhusu 'Black lives matter' hawakuona kuwa wanakiuka demokrasia...?
 
Hao wanaangalia maslahi yao
Kama hayajaguswa hawaaingilii, utatawala mpaka uchoke mwenyewe
 
Uchaguzi upi? Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika bali CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Hao wanaangalia maslahi yao
Kama hayajaguswa hawaaingilii, utatawala mpaka uchoke mwenyewe
Tayari yameguswa subiria manuali na nyambizi zipo njiani zinakuja na drone kibao na Ndege zisizo na rubani
 
Unauhakika ni 5 yrs??.... Usishangae ikawa mpaka Mola atakapo ingiliia
 
Mwoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…