Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

Kwa hiyo huyo baba ako Malcolm X hakuwa na intelligence ya kujua kwamba kuna watu walikuwa wanamtafuta wamuue ?
 
Naona umemgalagaza kabisa kijana wetu Likud, tatizo ujuwaji mwingi na fix kibao, halafu anaotaka kutupiga fix ni makamu ya Baba yake.
Anazingua sana,unajua ulimwengu wa sasa ukiwa muongo utakamatwa within a second,mwanzoni kaniambia Sina exposure sijawahi kwenda USA kama yeye aliyejionea Kwa macho,ghafla hata club house haijui huyu ni msafiri kweli?😁😁😁
 
Anazingua sana,unajua ulimwengu wa sasa ukiwa muongo utakamatwa within a second,mwanzoni kaniambia Sina exposure sijawahi kwenda USA kama yeye aliyejionea Kwa macho,ghafla hata club house haijui huyu ni msafiri kweli?😁😁😁
Club house inahusiana nini na kuwa na exposure? Ur talking about a " club house " girl not a " billionaires club" .

Ni sawa umshangae mtanzania kutokuijuia JF.

Sina interest yoyote na club house why should I know anything about it.

You want me to be you? That is selfish. Hiyo club house is good for you not for me
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umepigwa kwenye mshono umeamua kuwa mkali kama pilipili?u know nothing bro
 
Inaonyesha we ni muhamiaji haram ndo maana umeumia,ila ukweli black Americans ni wamarekani na ile nchi wameijenga wao.Huwezi kuwaita waafrica leo sababu babu wa mababu zao walipelekwa utumwani kule.Hiyo ni sawa na kuwakataa wangoni kisa walitokea south kipindi cha mateso ya Shaka zulu,Au kuwakata wairaq wa manyara kisa historia.Wana haki wa kulinda nchi yao dhidi wa wahamiaji haram.
 
💉
 
Ni kweli... hao jamaa walichojaaliwa ni swaga tu na mababu zao kubahatika kuzaliwa kule na wao wakawa wamarekani, ila kiakili ni ma-ZERO kabisa! Even tho si wote. Nimefahamiana na wengi sana nilipowahi kuishi maeneo ya kule mbezi chini (Africana) kipindi fulani...., ila dahh! We acha tu! Ni watu wa matanuzi, maugomvi muda wote, mitusi, starehe, bata, wanawake na nyodonyodo tu! Wachache sana wanakubaligi sisi ni ndugu zao na hapa ndo asili yao.

Ukiwa na urafiki na mzungu (Mmarekani au yeyote kutoka Ulaya, Canada, Australia au Amerika kusini) na kama ana idea ya kufungua biashara au kampuni hapa msikilize idea yake uone balaa la investment anayokwenda kuifanya na hata mtindo wake wa maisha akiwa hapa. Ana mapesa mengi ila matumizi yake yana nidhamu.

Nilifahamiana na Mmarekani mweusi mwingine mmoja, ana asili ya puerto rico, mzazi wake mmoja alikuwa ana asili ya uzungu. Anaitwa "Kevin Antrum" yeye anakupa story za kuiponda tu Marekani na wazungu ila kaja na idea ya kufungua TIGOPESA bahari beach.. Tazama utofauti na akili zao.

HOVYO KABISA HAWA JAMAA! WANAKUWAGA NA NYODO KULIKO WAZUNGU WENYEWE
 
Huyo ni Msomi kabisa hajui hata definition of illegal immigrants,then ni smart kuliko 50 Cent.
Nimeshangaa kusoma African Americans ni illegal immigrants, au sijui ili mtu aitwe mhamiaji haram anakuwa na sifa zipi.
 
A
Another brain washed kid talking the shit he even doesn't know.
 
Nimeshangaa kusoma African Americans ni illegal immigrants, au sijui ili mtu aitwe mhamiaji haram anakuwa na sifa zipi.
Sijui kama hata ana ufahamu wa Historia ya bara la America nani ni indigenous na wakina nani ni wageni.....ukute anajua wazungu ndio bara lao🤔🤔🤔
 
Tatizo lako mtoa mada unapoteza muda wako kubishana na vilaza. Ni hivi wewe Joannah na wenzako,anachokisema mtoa ni kwamba 50 Cent hapaswi kuwanyanyapaa wahamiaji haramu kwa vile hata yeye pia ni kitukuu wa wahamiaji haramu kwa sababu babu zake waliingia Marekani kiharamu.Walichukuliwa Africa kiharamu na kwenda kuuzwa Marekani kiharamu kupitia biashara haramu ya utumwa. Kwa hiyo hata wao wamarekani weusi pia kimsingi ni wahamiaji haramu. Tofauti yao na un documented immigrants ni kwamba wao wapo documented ila kimsingi wao pia ni haramu.

Ni sawa tunaposema mtoto haramu mtoto huyo ni haramu kwa sababu amezaliwa wazazi wake wamekutana kiharamu.

Hata wewe binti kiziwi ukibakwa akazaliwa mtoto huyo mtoto ataitwa haramu sio kwa sababu ni haramu ila kwa sababu akipatikana kiharamu.

Mtoa mada usipoteze muda wako kubishana na WAJINGA kuna WAJINGA wengi sana hapa jukwaani
 
M
Jinga jingine, how do you say Africa - American waliopelekewa kitumwa ni Illegal immigrants?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…