Tatizo lako mtoa mada unapoteza muda wako kubishana na vilaza. Ni hivi wewe
Joannah na wenzako,anachokisema mtoa ni kwamba 50 Cent hapaswi kuwanyanyapaa wahamiaji haramu kwa vile hata yeye pia ni kitukuu wa wahamiaji haramu kwa sababu babu zake waliingia Marekani kiharamu.Walichukuliwa Africa kiharamu na kwenda kuuzwa Marekani kiharamu kupitia biashara haramu ya utumwa. Kwa hiyo hata wao wamarekani pia kimsingi ni wahamiaji haramu. Tofauti yao na un documented immigrants ni kwamba wao wapo documented ila kimsingi wao pia ni haramu.
Ni sawa tunaposema mtoto haramu mtoto huyo ni haramu kwa sababu amezaliwa wazazi wake wamekutana kiharamu.
Hata wewe @Bintikiziwi ukibakwa akazaliwa mtoto huyo mtoto ataitwa haramu sio kwa sababu ni haramu ila kwa sababu akipatikana kiharamu.
Mtoa mada usipoteze muda wako kubishana na WAJINGA kuna WAJINGA wengi sana hapa jukwaani