Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

Tatizo huna exposure ndio maana unawaona wamarekani watu wa sababu sana. Nyie ndo mnakuwaga mashoga kwa sababu mmesikia wamarekani wanaliwa 0713. Sio kosa lako lakini.
Rejea message yangu ya kwanza,Kuna sehemu nimesifia mmrekani?nimekushauri kujikita kwenye matatizo ya nchi yako kuliko kuparamia wenzio wenye social services za kueleweka......sijaelewa kilichokupanikisha hapo Nini tumia hiyo Exposure uliyonayo vizuri
 
Hata hueleweki unacho kikubali ni nini na unacho kikataa ni nini
 
Rejea message yangu ya kwanza,Kuna sehemu nimesifia mmrekani?nimekushauri kujikita kwenye matatizo ya nchi yako kuliko kuparamia wenzio wenye social services za kueleweka......sijaelewa kilichokupanikisha hapo Nini tumia hiyo Exposure uliyonayo vizuri
Sasa Mimi nimezungumzia Marekani au nimewazungumzia Wamarekani weusi?
 
Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.

Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.

Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.

Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.

50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..

Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.

Mimi nilianza kwa kusema

"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"

Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇

' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"

Outcome :

1. Wengi wao walikosa majibu.

2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.

3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.

4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.

Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
Hoja yako pia ni famba, hao AA hawawezi kuwa illegal sababu babu zao walishapewa uraia kitambo baada ya utumwa kukomeshwa, wao ni raia wazawa
 
Growing in America as African- American was struggle,hapo walipo fika nakukubalika kama Rai wa America sio kitoto, usisahau Hilo, ndio wana matatizo ya attitude/ mentality zao ila wape mau yao Kwa struggling kubwa yakumuheshimisha mtu mweusi Duniani,50 cent is not an average guy,wewe ndo an average guy.
 
Hawana tofauti na wazulu WA south wamekuja duniani kufanya ngono na uhalifu tu
🤣🤣🤣 ur very right bro.

Kuna mmoja tulikuwa nae Johanesburg kuna project tulikuwa tunafanya huko..Tulikuwa watanzania wawili msouth mweusi mmoja na mkaburu mmoja na jamaa mmoja kutoka Togo na mholanzi. It was a professional project. Huyu jamaa mnugu( mmarekani mweusi) ni PHD holder kabisa..

Kwanza mvivu kupindukia anafanya kazi kizembe . Siku ya pili ya project anauliza " Guys I want to go to the hood do u know any hood here"? Akimaanisha anataka kwenda uswahili huko kwenye Fujo yani ujinga ujinga tu my brother
 
Growing in America as African- American was struggle,hapo walipo fika nakukubalika kama Rai wa America sio kitoto, usisahau Hilo, ndio wana matatizo ya attitude/ mentality zao ila wape mau yao Kwa struggling kubwa yakumuheshimisha mtu mweusi Duniani,50 cent is not an average guy,wewe ndo an average guy.
Nah, mzee ingekuwa struggle Wakenya, Nigeria, Jamaica wasingekuwa wanajazana huko hivyo....Kuishi na kukulia Tanzania ndio struggle kwa mtu mweusi kuliko Marekani
 
Sikutegemea kuwa wewe ni killaza pro max kiasi hiki.

Mtu anakuwaje raia halali?
Je hao watumwa walipelekwa miaka mingapi iliyopita?
Una akili ya kwendea kilingeni tu wewe
Sawa mkuu upo sahihi
 
Nah, mzee ingekuwa struggle Wakenya, Nigeria, Jamaica wasingekuwa wanajazana huko hivyo....Kuishi na kukulia Tanzania ndio struggle kwa mtu mweusi kuliko Marekani
Bila hao African American kufanya revolution,sisi wengine tusingekanyaga Huko America so ni jasho na damu zao , Marcus Garvey,Martin Luther,Malcom X etc Hilo ajue
 
Back
Top Bottom