Immortal Techniques
JF-Expert Member
- Aug 9, 2023
- 262
- 409
Wewe ni Zero # Case closed,Kwa hiyo baba Ako ana akili kuliko Martin Luther king Jr tuambie? Au weweBaba ako na Malcolm X nani ana akili kumshinda mwenzake?
Kama una amini Malcolm X ana akili kushinda wewe basi there is no hope to your future.
Anyways kwa kukusaidia tu huyo Malcolm X anaweza kuwa maarufu kushinda baba ako lakini hiyo haimaanishi kwamba ana akili kuzidi baba ako.