Kinachoniudhi about black Americans ni kutokua na mifumo mizuri yakujitoa kwenye umasikini, ni kama sisi tu uku Africa, ndo maana hata baada ya kutuachia nchi zetu bado tunawatukana wao ndo chanzo cha umasikini wetu as if walitukuta matajiri.
Sina huakika, ila unaweza kuta 50cent na utajiri wake hajawai kufungua hata kiwanda cha snikers akakibrand kutumia fame alonayo na kuweka kwenye vitengo ma black wenzake walio soma ili kukuza uchumi wao.
Ila utakuta anafurahia kuona washikaji zake wote anawavuta anashinda nao studio na kuwapa tu position twa uchawa tuu, kama ubodgurd sababu wengi huona kumiliki bunduki, branded outfits, private jets, na madhahabu ndo kama mafanikio.
Familia nyingi za wazungu zina mifumo mizuri ya kuzalisha pesa na kuendesha maisha yao ni nadra sana kumkuta mzungu akiwaza luxuries akipata pesa zaidi hua wanawekeza for their future generation.
Wafrika tubadirike wenzetu wakipata pesa wanawaza kuwekeza zaidi ila kwa blacks tukipata pesa tuu, tunawaza kuweka heshima kwa watu walio tudharau ili kuwakomesha ndo hapo campuni za gucci n.k ndo zinapofanyia biashara.