Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

Akili za Mleta mada anaemuona 50 Cent Hana lolote

Mkuu wewe 50 anaweza hata kukuoa kabisa wewe.
 
Mjinga kamaliza secondary huko Namtumbo akapangiwa Chuo UDSM!

Kamaliza Degree yake ya Sociology na community development akapangiwa kazi TAMISEMI Leo anajiona ni Mjanja kuliko 50 Cent hahaha

Hii nchi Vichaa ni wengi sana!

Ukute kajenga kanyumba kake ka mkopo wa vicoba huko uswekeni na kanunua Ka -IST used kutoka Japana anaona Black america wote wajinga!

Jamii yoyote Iko Homogeneous. Ina watu wazuri na wabaya! Hata hapa Tanzania Kuna watu wabaya na wema! Huwezi kuja kuhukumu watanzania wote ni wabaya unatukosea sote!

Nina rafiki Black Americans watu poa tu!

Marekani Kuna black Americans milion 40. Huyu mjinga anakuja kuhukumu wote Kwa Comments chache za Instagram zisizofikia hata 100.

Haya ni madhara ya kuwa mijitu mijinga kama mleta mada! Akili finyu
Kwa jinsi ulivyo muweka juu 50 am sure as heaven akitaka uwe demu wake huwezi kuchomoa wewe.
 
Kutokana na hoja yako na utetezi wako, je wabantu waliohamia Africa mashariki na Africa kusini ni illigal immigrant ? North African are also illigal immigrants? Binafsi sioni kama hoja yako ina mashiko. Labda uliwapata wamarekani kwa sababu hawasomi au hawazingatii historia vizuri .
 
Hoja yako pia ni famba, hao AA hawawezi kuwa illegal sababu babu zao walishapewa uraia kitambo baada ya utumwa kukomeshwa, wao ni raia wazawa
Mleta uzi hajui hata historia, walipopelekwa marekani hakukua na nchi ya marekani bali coloni la waingereza
Meli ya kwanza ya utumwa ilitua virginia mwaka 1619 na waliahidiwa watakua huru kumbuka marekani imepata uhuru mwaka 1777
 
Kutokana na hoja yako na utetezi wako, je wabantu waliohamia Africa mashariki na Africa kusini ni illigal immigrant ? North African are also illigal immigrants? Binafsi sioni kama hoja yako ina mashiko. Labda uliwapata wamarekani kwa sababu hawasomi au hawazingatii historia vizuri .
Mleta uzi hajui hata historia, walipopelekwa marekani hakukua na nchi ya marekani bali coloni la waingereza
Meli ya kwanza ya utumwa ilitua virginia mwaka 1619 na waliahidiwa watakua huru kumbuka marekani imepata uhuru mwaka 1777
 
Kutokana na hoja yako na utetezi wako, je wabantu waliohamia Africa mashariki na Africa kusini ni illigal immigrant ? North African are also illigal immigrants? Binafsi sioni kama hoja yako ina mashiko. Labda uliwapata wamarekani kwa sababu hawasomi au hawazingatii historia vizuri .
Hao wabantu waliletwa kwenye meli kama watumwa?
 
Ni kweli lakini sio kuizungumzia USA kinadharia ukaacha uhalisia.
Huduma za umma ni mbovu sana mkuu hasa hospital, shule n.k
Nchi ina rushwa sana.

Watu wanaoenjoy maisha USA ni wale wenye pesa au kazi nzuri. Hao wanapata huduma nzuri kwenye private sector.

Nchi imekaa kibepari zaidi kama wewe ni maskini marekani utaishi kama umbwa koko.

Haya yote wengi hawayajui na hata kuyaona kwa sababu hakuna anayeweza kuyasema au kuyaonyesha. Vyombo vya habari vipo undercontrol na macapitalist.
Pamoja na mapungufu yake huwezi fananisha u.s na Tanzania huo utakua ni uwendawazimu
 
Attitude/ mentality ya mtu mweusi American ndio tatizo wengi ni sababu ya past experiences, education kwao sio kipaumbele wengi wanajikita kwenye Sports/ Music - kasome Dr Ben Carson books like Gifted Hands au Think Big,......Eti 50 cent is avarage guy wewe ni brah brah mwenzio a brand World wide akifa jina lake litaishi wewe je? Umefanyia nini Tanzania na Elimu Yako? Bull shit tu
Kama ujafika USA huwezi mwelewa mtoa post kuhusu 50 cent ni average person. Kwa huku kwetu africa anaweza kuwa ni great person, ila asikwambie mtu, mfumo wa life pale State upo tofauti sana.
 
Kama ujafika USA huwezi mwelewa mtoa post kuhusu 50 cent ni average person. Kwa huku kwetu africa anaweza kuwa ni great person, ila asikwambie mtu, mfumo wa life pale State upo tofauti sana.
How do you rate 50 cent Avarage person in Usa? Kama alitishaa show Madison Square ikajaa hao wazungu? Tuambie ulie fika usa
 
Rejea message yangu ya kwanza,Kuna sehemu nimesifia mmrekani?nimekushauri kujikita kwenye matatizo ya nchi yako kuliko kuparamia wenzio wenye social services za kueleweka......sijaelewa kilichokupanikisha hapo Nini tumia hiyo Exposure uliyonayo vizuri
Watanzania tuna ujuaji sana alafu ujuaji huo tumeshindwa isaidia nchi yetu kutoka kwenye umaskini
Mfano miaka ya nyuma hasa 2000's kurudi nyuma kulikua na narrative kwamba elimu ya Tanzania ni ngumu na watu waliikubali ila baadae ikaja julikana tatizo ni watanzania wengi hawana msingi wa lugha ya kingereza wanakariri sana kwa hiyo elimu sio ngumu bali ni wanafunzi hawana msingi mzuri wa kingereza

Hata mtoa uzi anajiona ana-akili lakin leo akifa atakumbukwa kwa lipi nakuhakikishia jibu hana
 
How do you rate 50 cent Avarage person in Usa? Kama alitishaa show Madison Square ikajaa hao wazungu? Tuambie ulie fika usa
Kujaza show siyo tatizo mkuu, inategemea na ukanda aliokwenda pengine ndio mafans wake wapo uko. Ila kuna sehemu pale State akienda ni mtu wa kawaida sana pengine hata Wengine hawamjui. Mkuu marekani siyo kama bongo ambapo ukiwa maarufu kila kona watakujua.
 
Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.

Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.

Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.

Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.

50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..

Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.

Mimi nilianza kwa kusema

"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"

Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇

' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"

Outcome :

1. Wengi wao walikosa majibu.

2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.

3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.

4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.

Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
Sikatai weupe wao kichwani, nakubaliana na wewe kuhusu hili. Ila hoja yako sijaona kama ina mashiko. Walikuwa transported illegally na baada ya kuabolish slave trade wakapewa uraia. Hata wasingepewa uraia lakini almost wote sasa wamezaliwa huko hivyo kisheria wana uraia wa kuzaliwa (principle of jus soli). Ndio maana hata trump wakati anarudisha illegal immigrants hakuwarudisha na waototo wao waliozaliwa marekani maana automatically wale walikuwa ni raia wa marekani jambo ambalo lilileta kelele kuwa ni kinyume cha haki za binadamu kutenganisha watoto na wazazi wao hadi mahakama ikaingilia kati kuzuia.
 
50 cent sio average acha kudanganya watu
Siyo average person sawa kwa sababu unamjua. Mfano mzuri Drake yule msanii mkubwa tu lakini aliwahi kufika sehemu anafanya interview na watu hawamjui kama kuna msanii anaitwa drake 😀😀😀
So mtu kama 50 cent anaweza kuwa mainstream kwa upande mmoja uku kwengine raia hawana habari naye. Mfumo wa life USA hasa kwa upande wa muziki ni mgumu sana ..kuna wasanii pale state wanakimbiza kinoma 50 cent anasubiri. Na wewe huwajui 😀😀😀
 
Majungu sio mtaji alafu usipende kujifariji mtu flani ni average ilihali amekuzidi mambo mengi sana acha majungu

Hata samia akienda baadhi ya maeneo hapa Tanzania watu wengi hawawezi mtambua
 
Back
Top Bottom