Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Siyo mapungufu ila ndiyo ukweli ulivyo.Pamoja na mapungufu yake huwezi fananisha u.s na Tanzania huo utakua ni uwendawazimu
Kwanza sijalinganisha US na TZ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo mapungufu ila ndiyo ukweli ulivyo.Pamoja na mapungufu yake huwezi fananisha u.s na Tanzania huo utakua ni uwendawazimu
To set the record straight to me, given the American civil rights struggle, I will choose Malcom X over Martin. To me, Martin was clever but Malcom was a fighter, he took no nonsense from white.Wewe ni Zero # Case closed,Kwa hiyo baba Ako ana akili kuliko Martin Luther king Jr tuambie? Au wewe
A man of no none sense ,by any means necessary! If someone touch you sent him to cemetery.To set the record straight to me, given the American civil rights struggle, I will choose Malcom X over Martin. To me, Martin was clever but Malcom was a fighter, he took no nonsense from white.
Hii JF ni jukwaa la Waafrika basically,kwa hiyo haupaswi kuwatukana Waafrika hapa. Usiwagawe Waafrika.Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.
Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.
Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.
Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.
50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..
Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.
Mimi nilianza kwa kusema
"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"
Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇
' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"
Outcome :
1. Wengi wao walikosa majibu.
2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.
3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.
4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.
Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nchi yako inapumulia mashine uko busy na Marekani are you serious?Shule zako tu zile unazisifiaga hazina vitabu Wala walimu unashindana wamarekani...maajabu!
Devide n rule bado ina apply kwaoWewe na waliokuunga mkono mna uelewa mdogo juu ya suala la uraia na sheria za nchi husika,kila aliuekuwepo 9/12/1961 alihesabika kuwa raia wa Tanganyika,hao watumwa wa afrika bado watumwa tu huko America?..hao weupe siyo wazungu wa ulaya!?..Kama hukujitambulisha mtanzania huko nashukuru hukutuaibisha
Wanadai Wana ubaguzi Bora hata ubaguzi wa mzungu kuliko black Americans. Yaani huwa wanataka kuitwa Americans Sasa wakiitwa African American Wana mind mno wanadai kuwa mbona wanaotoka Europe hawaitwi Europe American huyu Ni myweather alikataa kuwa yeye sio African AmericanHuko C.H wana magroup yao wanatuponda sana waafrica wanajiona wao ni bora zaidi .
Ukijichanganya ukaingia kuwasikiliza wakagundua wewe ni mwafrica utaoga matusi yote.
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka hii wanaume wameisha kabisa. Miaka hii vijana wamekuwa wa hovyo sana. Anajisifia ujinga. Nchi yake imemshinda... Anahangaika na mitandao ya wengineYaani nchi yako inapumulia mashine uko busy na Marekani are you serious?Shule zako tu zile unazisifiaga hazina vitabu Wala walimu unashindana wamarekani...maajabu!
Kasema yeye kawachallenge balaa Hadi wamemfollow kama aftatu hivi😁😁😁Bora na wewe ushangae Mzee kifimbochezaMiaka hii wanaume wameisha kabisa. Miaka hii vijana wamekuwa wa hovyo sana. Anajisifia ujinga. Nchi yake imemshinda... Anahangaika na mitandao ya wengine
Ushawahi kuchezea kifimbo chake Chizi Maarifa ?Bora na wewe ushangae Mzee kifimbocheza