Rejea message yangu ya kwanza,Kuna sehemu nimesifia mmrekani?nimekushauri kujikita kwenye matatizo ya nchi yako kuliko kuparamia wenzio wenye social services za kueleweka......sijaelewa kilichokupanikisha hapo Nini tumia hiyo Exposure uliyonayo vizuriTatizo huna exposure ndio maana unawaona wamarekani watu wa sababu sana. Nyie ndo mnakuwaga mashoga kwa sababu mmesikia wamarekani wanaliwa 0713. Sio kosa lako lakini.
Hata hueleweki unacho kikubali ni nini na unacho kikataa ni niniRejea message yangu ya kwanza,Kuna sehemu nimesifia mmrekani?nimekushauri kujikita kwenye matatizo ya nchi yako kuliko kuparamia wenzio wenye social services za kueleweka......sijaelewa kilichokupanikisha hapo Nini tumia hiyo Exposure uliyonayo vizuri
Sasa Mimi nimezungumzia Marekani au nimewazungumzia Wamarekani weusi?Rejea message yangu ya kwanza,Kuna sehemu nimesifia mmrekani?nimekushauri kujikita kwenye matatizo ya nchi yako kuliko kuparamia wenzio wenye social services za kueleweka......sijaelewa kilichokupanikisha hapo Nini tumia hiyo Exposure uliyonayo vizuri
Hoja yako pia ni famba, hao AA hawawezi kuwa illegal sababu babu zao walishapewa uraia kitambo baada ya utumwa kukomeshwa, wao ni raia wazawaHawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.
Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.
Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.
Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.
50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..
Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.
Mimi nilianza kwa kusema
"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"
Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇
' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"
Outcome :
1. Wengi wao walikosa majibu.
2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.
3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.
4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.
Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
Growing in America as African- American was struggle,hapo walipo fika nakukubalika kama Rai wa America sio kitoto, usisahau Hilo, ndio wana matatizo ya attitude/ mentality zao ila wape mau yao Kwa struggling kubwa yakumuheshimisha mtu mweusi Duniani,50 cent is not an average guy,wewe ndo an average guy.Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.
Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.
Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.
Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.
50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..
Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.
Mimi nilianza kwa kusema
"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"
Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇
' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"
Outcome :
1. Wengi wao walikosa majibu.
2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.
3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.
4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.
Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
Hivi mbona unaongea kama umekata kichwa?unamtofautishje vipi Mmarekani mweusi na Marekani?Sasa Mimi nimezungumzia Marekani au nimewazungumzia Wamarekani weusi?
Sijui hata hoja yake anataka kutuambia nini?binafsi nimeshindwa kumuelewaHoja yako pia ni famba, hao AA hawawezi kuwa illegal sababu babu zao walishapewa uraia kitambo baada ya utumwa kukomeshwa, wao ni raia wazawa
Kwanza Marekani Haina mwenyewe,hata wazungu ni immigrants,Red indians ndo indigenous of America,get that fact piaWewe huioni tofauti? Like seriously? Tell me ur joking please
NAKAZIAKwanza Marekani Haina mwenyewe,hata wazungu ni immigrants,Red indians ndo indigenous of America,get that fact pia
Sikutegemea kuwa wewe ni killaza pro max kiasi hiki.Akipost 50 then page nyingine ika repost
🤣🤣🤣 ur very right bro.Hawana tofauti na wazulu WA south wamekuja duniani kufanya ngono na uhalifu tu
Nah, mzee ingekuwa struggle Wakenya, Nigeria, Jamaica wasingekuwa wanajazana huko hivyo....Kuishi na kukulia Tanzania ndio struggle kwa mtu mweusi kuliko MarekaniGrowing in America as African- American was struggle,hapo walipo fika nakukubalika kama Rai wa America sio kitoto, usisahau Hilo, ndio wana matatizo ya attitude/ mentality zao ila wape mau yao Kwa struggling kubwa yakumuheshimisha mtu mweusi Duniani,50 cent is not an average guy,wewe ndo an average guy.
ClubhouseWhat is C.H?
Bila hao African American kufanya revolution,sisi wengine tusingekanyaga Huko America so ni jasho na damu zao , Marcus Garvey,Martin Luther,Malcom X etc Hilo ajueNah, mzee ingekuwa struggle Wakenya, Nigeria, Jamaica wasingekuwa wanajazana huko hivyo....Kuishi na kukulia Tanzania ndio struggle kwa mtu mweusi kuliko Marekani