Hivi ,huelewi kuwa Zanzibar kuna KMKM, Magereza, JKU, Valantia, Janjawidi ? Wote hawa hawako chini ya serikali ya Tanganyika kwa jina la ki magirini, Tanzania?Rais anachaguliwa dodoma. Vikosi gani ilivyo navyo zanzibar
Zanzibar ilikuwa inatambulika duniani kama nchi kabla babu zako hawajajua kuvaa nguo zitokanazo na pamba.Sasa mkoa si kamkoa ketu hako au
Hapo tutasikia mawaidha tu ya kutaka nchi nzima tusilimishwe tuwe maustadhiUkweli umefichwa
Msikilize marehemu shekh Ilunga.
Marhum Ilunga anasemaje mkuu. SijamsikilizaUkweli umefichwa
Msikilize marehemu shekh Ilunga.
Waarabu wa Oman wanakitaka kisiwa kile kwaajiri ya masilahi yao.... Pale gesi na mafuta havikosekani. Lakini pia kile ni kisiwa cha utalii. So jamaa wanaleta choko choko ili tugombane wao wapate wanachotaka.Hivi Zanzibar ikijitoa Muungano ndo itaendelea?
Hizo ndizo fikra zenu ,ukisikiliza clip vizuri utajua nguvu ya wachache humaliza vipi taifaKalagabaho.
hako ni kamkoa ketu na kataendelea kuwa hivyo,mna vijeshi vyenu sijui viwili vile basi mnaona na nyie mpo ahahahaha!
.
baba tia akilini Zanzibar ni mkoa wa nchi inayoitwa Tanzania na sio nchi ndani ya nchi.
Waarabu wa oman wanakitaka kisiwa kile kwaajiri ya masilahi yao.... Pale gesi na mafuta havikosekani. Lakini pia kile ni kisiwa cha utalii. So jamaa wanaleta choko choko ili tugombane wao wapate wanachotaka.
Zanzibar nawafananisha na Comoro tu.Waarabu wa oman wanakitaka kisiwa kile kwaajiri ya masilahi yao.... Pale gesi na mafuta havikosekani. Lakini pia kile ni kisiwa cha utalii. So jamaa wanaleta choko choko ili tugombane wao wapate wanachotaka.
mzee kwani uislamu una shida gani[emoji1][emoji1]Hapo tutasikia mawaidha tu ya kutaka nchi nzima tusilimishwe tuwe maustadhi
Itaendelea kwenda wapi!?Hiyo kwenda umeitoa wapi mbona mm sijaisema
Exactly imani ya wengi wenu.Itaendelea kwenda wapi!?
Kwamba kuna mtu anaamini Z'bar haiendelei kisa muungano!?
Kwa hiyo Arusha ishindwe kumaliza taifa ije kuwa Zanzibar ya John Okello?Hizo ndizo fikra zenu ,ukisikiliza clip vizuri utajua nguvu ya wachache humaliza vipi taifa
Ni nchiKwani comoro si nchi?
Shida ni Dodoma kuiamulia Zanzibari nini na nani wa kuongoza. Siku wa Zanzibari wakichoka kuelekezwa nini cha kufanya . Watazika machungu hayo.
Uislam ni imani kama imani nyingine na hauna tatizo. Shida ni wajuaji wanaojivika hii imani utadhani walizaliwa nayo...... Wao wanaona wanamjua MUNGU kuliko wanaomjua kweli kweli......mzee kwani uislamu una shida gani[emoji1][emoji1]
Walipokuja warabu tu na walipopandikiza mbegu hapo imeleta shidaMnalazimisha kitu kisicholazimika , one day yes ,mtaitema tu