Wamarekani weusi wa Zanzibar

Huwezi kuwa na nyumba kubwa halafu vyumba vya uwani vikawa ni vya mtu mwingine.

Sasa Tanzania visiwani ni sehemu ya Tanzania bara
 
Hapana ndugu, labda wengi wenu.
Kama Zanzibar haiendelei kutakua na sababu nyingine Tu, Muungano unatumika km kisingizio
Wanasiasa ndo wanawa-indoctrinate hivyo...kwamba muungano ni kikwazo Tanganyika inawanyonya.
 
Hivi Zanzibar ikijitoa Muungano ndio itaendelea?
Tazama uchumi wa visiwa vya Indian ocean utapata jibu nazungumzia Mauritius,Seychelles ,Madagascar .Mazingira ni yale yale,hadi baadhi ya visiwa vinalingana kw ukubwa na Zanzibar //End of comparison. Uchumi wa visiwa hivi umepiku uchumi wa Zanzibar kwa kiwango kikubwa hadi aibu.
 
Ndiyo maneno ya kanisa hayo
 
Kwa hiyo Arusha ishindwe kumaliza taifa ije kuwa Zanzibar ya John Okello?
.
Abdool Zanzibar ni kamkoa ketu ila tunajua mnaweza anza malipuzi ndio maana tumewapa mnavyovitaka ili mjione na nyie ni Hong Kong
Hizo ni ndoto za kanisa lako
 
Uislam ni imani kama imani nyingine na hauna tatizo. Shida ni wajuaji wanaojivika hii imani utadhani walizaliwa nayo...... Wao wanaona wanamjua MUNGU kuliko wanaomjua kweli kweli......

Kama imani nyengine ipi inayosema yesu si mungu ?
 
Shida ni Dodoma kuiamulia Zanzibari nini na nani wa kuongoza. Siku wa Zanzibari wakichoka kuelekezwa nini cha kufanya . Watazika machungu hayo.

Bahati mbaya, wa Zanzibari nao bado wamepumbazwa na unafuu wanayopewa kutoka Tanganyika kama chambo.

Unafuu wanao vijibwa vinavyotupiwa vijifupa vikajisahau
 
"Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru" mwisho wa nukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…