Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
👏👏Marekani weusi ni jambo la kiutamaduni zaidi.
Mara ya kwanza kumuona Meghan Markle, mke wake Prince Harry wa Uingereza, nilifikiri ni mzungu.
Kumbe kachangia rangi kwa wazazi.
Kimarekani huyo ni mweusi.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Vifo vya waarabu kutoka misri vilivyotokana na corona eti navyo vinahesabiwa kua ni vifo vya waafrikaUko sahihi pia kuna Waarabu weusi sana isip[okuwa tofauti ni nywele tu...
Link ya huo utafitiNikweli ila weusi kama weusi bado sio kigezo sana, maana hapa hata wahindi weusi wanaweza kuingia.
Ila immunity ya muafrika ambaye hana chembe ya cloning wala uchotara hapa mamzungumzia mtu ambaye katika ukoo wao hakujawahi kuwepo mzungu. Mtu huyu anakinga imara zaidi katika ugonjwa huu especially kijana asiyekua affected na magonjwa mengine
Exactly, biracial wote wanaingia katika category ya waafrika, hii iko hata Brazil sio marekani tuMarekani weusi ni jambo la kiutamaduni zaidi.
Mara ya kwanza kumuona Meghan Markle, mke wake Prince Harry wa Uingereza, nilifikiri ni mzungu.
Kumbe kachangia rangi kwa wazazi.
Kimarekani huyo ni mweusi.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Umeshakubali ni black American, hata kama ana genes za uzungu nyingi bado ana Uafrika kuliko mzungu pure. Sasa kwanini black Americans ndo wafe wengi kuliko wazungu ambao ndo tunawaita weak.Uimara unafifia pale ambapo genes za uzungu zinakua zipo kwa kiasi kikubwa kuliko genes za u-nigga
Lakini licha hata ya hivyo lakini bado victim waliokufa ni wale wale ambao wanamagonjwa ya ziada
Ifahamike kwamba huu ugonjwa bila kupata assist kutoka kwa ugonjwa mwingine ni ngumu sana kumuua kijana wa kiafrika (sio black america)
Umenikumbusha Bibi yangu alikutana na Black American, akaambiwa huyu ni Mmarekani, lakini ni mtu mweusi kama sisi.Hao black Amercan nao wamechanjwa chanjo za TB kilazima kama sisi ma blacks wa huku?wanakula ugali na mihogo kama blacks wa huku?hao tunaesabu ni kama wazungu tu kasoro rangi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda kuna ukweli kwa ulichoandika hapa.
Ila ile nchi ni dunia ya kwanza bhana, ukiamua kukomaa utapata maisha tu labda hawana African American ni wavivu.
Hapa nafikiri umembagua mpoki, muombe radhiWahindi weusi huwajui?
Yani ni weusi pengine kuliko hata mpoki ila kinachoweza kutofautisha na sisi ni nywele tu
Kua na strong immunity haimaanishi kwamba hautaumwa gonjwa loloteUmeshakubali ni black American, hata kama ana genes za uzungu nyingi bado ana Uafrika kuliko mzungu pure. Sasa kwanini black Americans ndo wafe wengi kuliko wazungu ambao ndo tunawaita weak.
Na kama unasema victims wana magonjwa mengi ndo point yenyewe nnayoisema hapa, kama black wako strong kwanini wawe na magonjwa mengi. Yani utatumia vigezo gani kusema wao wako strong wakati huo ndo wana magonjwa mengi kuliko wazungu.
Wao ndo wachache kwenye jamii za Marekani lakini wao ndo wagonjwa wengi wa corona, wakati huo pia ndo wanaongoza asilimia za vifo. Sasa utaanzaje kusema wako strong. Utabishana na data.
Kama Waafrika na weusi ni strong lakini umaskini ndo chanzo cha kufa kwingi uko Marekani, basi sababu hiyo ndo itaua wengi na uku.
Ungekua unaelewa mpoki anavyojikubali na rangi yake usingesema nambagua
Wana inferiority complex, ni rahis kwa mwafrika Toka afrika kufanikiwa marekani kuliko mmarekani mweusi, wao ni kulalamikaKweli kabisa unalosema kama utajitenga na miji wanayokaa wao na Aukatafuta maisha yako Mbona unatoboa tu
Tatizo sio sisi tunaoenda huko bali wao kama wazawa wamekuwa na maisha ya kuigana na kujiweka dhalili wenyewe
Mkuu kuna sehemu zingine USA unakuta blacks wanaishi maisha ya duni mpaka unasema hivi huyu nikimuweka kariakoo na tenga la nyanya nani atamjua I swear [emoji23] huwezi kumtoa
Wanajirudisha nyuma sana kwa kukaa kwenye society moja na elimu duni pia kila mmoja anaona kuuza ngada itamtoa
Sent from my iPhone using Tapatalk
DravidianHawa ndio wahindi weusiView attachment 1411406View attachment 1411407View attachment 1411408View attachment 1411410
It's Scars
Wana inferiority complex, ni rahis kwa mwafrika Toka afrika kufanikiwa marekani kuliko mmarekani mweusi, wao ni kulalamika
Mfano hakuna watu waliopitia maisha magumu Kama Jews wamekaa na wazungu almost miaka 1500+ na wamebaguliwa sana, lakin ni moja ya jamii iliyobaguliwa na inayobaguliwa sana
Wamarekani weusi wanaongoza kwa kupigana risasi, kubwia unga, bangi na sigara, kula hovyo, hivyo wao kuwa weak kuliko weusi haishangaziBado logic inakukatalia. Kama weusi ni imara zaidi ya wazungu, kwanini mchanganyiko wa mzungu na mweusi uwe weak kuliko mzungu mwenyewe.
Hapo ilitakiwa mweusi awe strong, afate chotara wa kizungu na kiafrika then afate mzungu au jamii za Asia.
Sasa kwa kesi hii ni kinyume, yani ni sawa na kusema wazungu ni weupe, waafrika ni weusi lakini chotara ni weusi zaidi ya wote hao.
Tokea siku nyingi inajulikana kuwa black Americans wana life expectancy ndogo, wanapata magonjwa ya moyo kuliko wazungu na matatizo kibao. Nilisoma kutoka kitabu cha 'Comparatible worth of Different races'.
Hii inaakisi maisha yetu yalivyo huku, watu ambao waliwahi kuwa na viribatumbo, matege, malnutrition, kwashiorkor na magonjwa ya utotoni kibao siamini kama wanaweza kuwa na kinga za maana. Tuna asili ya kuwa na kinga lakini maisha yetu yanatufanya tuwe very weak.
Lets wait.
Hizi tafiti sijui mmezifanyia wapi, au misconception mliyojitungia kichwani tu kujifarijiUimara unafifia pale ambapo genes za uzungu zinakua zipo kwa kiasi kikubwa kuliko genes za u-nigga
Lakini licha hata ya hivyo lakini bado victim waliokufa ni wale wale ambao wanamagonjwa ya ziada
Ifahamike kwamba huu ugonjwa bila kupata assist kutoka kwa ugonjwa mwingine ni ngumu sana kumuua kijana wa kiafrika (sio black america)
SawaHizi tafiti sijui mmezifanyia wapi, au misconception mliyojitungia kichwani tu kujifariji
Kwanza unaonekana hujui hata kuhusu genetics, eti genes za uzungu zinakuwa nyingi.
, kwenye cross breeding hakuna anayetoa genes nyingi kuliko mwenzake, wote wanatoa chromosomes 23
Sent using Jamii Forums mobile app