Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Acha kuwaingiza wamasai kama kabila....Kwani Wamasai hawana hela?
Kwani Wamasai hawana watoto walipenda shule?
Kwani Wamasai wa karne hii ni kama wa kipindi kile cha ujima?
Wamasai wanaoishi Ngorongoro hawajatengwa na ulimwengu! Wanajua kile wengine wanachokifanya huko duniani linapokuja suala la kudai haki.
Hao ndio 'turn coats' wa nchi hii; ni watu wa kutumika tu kama vikaratasi vya chooni. Hovyo kabisa.Nakumbuka Mstaf General Venance Mabeyo ndio Mwenyekiti ya Board ya Wazamini wa Ngorongoro conservation Authority.
I hope hakitaharibika kitu.
Sio kweli ule mgogoro ulianza 1994/95 walianza kuuwawa na kunyang'anywa Mifugo yao.Usipindishe mambo. Wanyamlenge wenyewe wanataka waonekane kuwa tofauti na raia wengine wa nchi hiyo,
Mkuu basi jitahidi ukitoa maoni yako uwe na stahaHao ndio 'turn coats' wa nchi hii; ni watu wa kutumika tu kama vikaratasi vya chooni. Hovyo kabisa.
Kwa kuwa neno adabu lipo katika maisha yetu basi hata mimi nikikengeuka nishikishwe adabu kwa njia za kibinaadamu......Unataka akatafute jeshi huko aje kuwapa adabu waTanzania?
Hili liweke pembeni. Nilitaka kukustua tu ujue upotoshaji unao jaribu kuufanya hapa.Sio kweli ule mgogoro ulianza 1994/95 walianza kuuwawa na kunyang'anywa Mifugo yao.
Mtu kama wewe napata shida sana kujibishana nawe, kwa sababu akili zako siyo timamu.Kwa kuwa neno adabu lipo katika maisha yetu basi hata mimi nikikengeuka nishikishwe adabu kwa njia za kibinaadamu......
Wewe ukikengeuka ,usishikishwe adabu kibinaadamu ?!!
Mwenzetu una "immunity" kutoka mbinguni ?!!!
#Nchi Kwanza[emoji7]
Lengo langu ni kuwakumbusha Viongozi haswa waliolewa Madaraka kuwa waangalie Nchi zingine za Kiafrika Armed Rebellions huwa zianaanza hivi hivi.Hili liweke pembeni. Nilitaka kukustua tu ujue upotoshaji unao jaribu kuufanya hapa.
Haya ni maswala yasiyo husiana.
Kama Mimi ni kondoo una uhakika gani kama wewe sio kondoo?Kila mara ninapo kwambia wewe ni kondoo tu; siku moja jaribu kujichunguza vizuri utauona ukweli huo.
Hayo maneno ya "staha" ndiyo yametufikisha hapa, wewe hukumbuki?Mkuu basi jitahidi ukitoa maoni yako uwe na staha
HahahaHayo maneno ya "staha" ndiyo yametufikisha hapa, wewe hukumbuki?
Nawe bado unatumika "kutumia lugha za staha" walizotakiwa akina Mbowe wazitumie. Sasa wako wapi?
Natumaini umenielewa vizuri. Inapohusu maswala ya aina hii ya kuwadhalilisha waTanzania, naomba sana usinihimize tena na hizo staha.Hahaha
Just do your own research.Stan Katabaro alikuwa nani?
Kutokuwa tayari kumwachia Mwarabu "nchi" aliyoinunua kwa hela ndefu!Ndugu zetu Wamasai ni Raia wenzetu wa Jamhuri hii kosa lao ni nini?!
Nawaunga mkono.Kutokuwa tayari kumwachia Mwarabu "nchi" aliyoinunua kwa hela ndefu!
Kama Kuna Watu wanawafadhili Wamasai wa Ngorongoro ili wàweze kulinda, kutetea au Kupigania Haki zao za msingi basi ufadhili huo unapaswa kuungwa mkono, ni ufadhili wenye Nia njema. Aidha, ufadhili huo utakuwa una baraka za Mungu kwa sababu vitabu vyote vya Maandiko Matakatifu vya makundi yote ya Imani zilizopo hapa duniani vinasisitiza kuhusu kutenda haki. Kitendo cha kutoa Ufadhili wenye lengo la kutetea au kulinda Haki za Watu ni kufanya kazi ya Mungu.Hayo mabango sio ya wafugaji wa Kimaasai hiyo ni kazi ya large format printing kijijini Ngorongoro itoke wapi?!, hii maana yake kuna nguvu fulani behind the scenes inayowachochea hawa wamasai na sio Wamasai wenyewe tuu peke yao, na large format printing cost money, hivyo kuna watu wana fund!, ukisikia kitu kinaitwa fuelling ndio huku!.
P