Yahee huku kwetu Pemba hagusi Mtu, shauri yenu huko Bara.Wewe sio muoga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yahee huku kwetu Pemba hagusi Mtu, shauri yenu huko Bara.Wewe sio muoga?
Ni kweli katika jamii ambayo iko nyuma sana kutokana na kupuuzia elimu ni Wamasai japo wapo walosoma ila majority hasa wanaokaa porini huko maisha ni hovyo sana!Kabila gani nchini linapewa chakula,maji na scholarship bure?
Wazee wa Kimasai wanaendelea kuoa wake wengi na kuzaa watoto wengi wakijua kuna chakula,maji elimu, malisho bureee, vijana wakifika miaka 25 nao wanageuza rika wanakuwa nao wazee🤣 hakuna kufanya kazi. Ndio sababu wanaokuja mjini wanaishia kulala ulizi na kuuza dawa na viatu vya matairi wamepata msingi mbovu.
Kwamba yeye ni RC wa wanyonge? You are not serious at all.Mkuu wa Mkoa Ndugu Makonda akwende huko akajibu hoja zao na kuwapa matumaini
Kwani huko kwingine hakujauzwa, au ni kutojuwa tu kinacho endelea kila mahali hapa nchini.Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
Unayo hakika gani wewe hapo ulipo bado hujauzwa? Hebu jichunguze vizuri kama bado upo salama!Masikini Ndugu zetu Wamasai mbona wamefanywa kuwa RAIA wa DARAJA la PILI?!! second class citizens...🥺
Mungu awatetee wanaoonewa!Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.
Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025
Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.
Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro huku wenyeji wakiteseka.
Samia hataki hata wamasai wapige kura kwa sasa na hili ni agizo la Mwarabu ndie anaye endesha Ngongongoro.Pale ni Arabus Republic of Ngorongoro.
Huwezi amini hii ni Bongo, Viongozi wasio kuwa na uchungu na hili Taifa wanauza nchi kama njugumawe.
Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
Dah MWarabu kaamua, na ni yeye anaye amrisha Serikali isipeleke huduma kwa raia walio bakia Ngorongoro. Mwarabu ndie anaye amrisha.Mwarabu ni shida sana
Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
Mambo moto moto, naona Morani wameshapandisha Mori.
Stan Katabaro alikuwa nani?Hii nchi hii!
Loliondo scandal ilivuma na imetulia, sasa hivi Ngorongoro nayo pia ipo 'fire.'
RIP Stan Katabaro.
Na Waarabu ni nani katika Taifa la Tanganyika hata waheshimiwe kuzidi wazawa?Wamasai ni nani nchi hii hata wadekezwe? Hii nchi ina jamii zaidi ya 125 huko. Acheni kushabikia ujinga.
Hilo jina la Netanyau nikiliona huwa nabaki kucheka 😂Wanaweza kuacha uchaguzi upite then watolewe wote
Asdiye lielewa hili atakuwa ni sehemu ya hao wanao uza, anafaidika na kuuzwa; kama hao mawaziri na wabunge wote wanaotumiwa.2026 kuendelea ni ni wakati nchi itauzwa kama Dagaaa wa Mwanza, yaani nchi itanadiwa kwa mwenye cha juu ndie atapewa, na Waarabu kwa sasa wanakusanya pesa za mafuta waje kuinunua Tanzania
Hayo mabango sio ya wafugaji wa Kimaasai hiyo ni kazi ya large format printing kijijini Ngorongoro itoke wapi?!, hii maana yake kuna nguvu fulani behind the scenes inayowachochea hawa wamasai na sio Wamasai wenyewe tuu peke yao, na large format printing cost money, hivyo kuna watu wana fund!, ukisikia kitu kinaitwa fuelling ndio huku!.Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.
Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
Kwani wewe ulitegemea nini. Wao hawastahili msaada wa kuwasilisha wanachoona wanaonewa?Hayo mabango sio ya wafugaji wa Kimaasai hiyo ni kazi ya large format printing kijijini Ngorongoro itoke wapi?!, hii maana yake kuna nguvu fulani behind the scenes inayowachochea hawa wamasai na sio Wamasai wenyewe tuu peke yao, na large format printing cost money, hivyo kuna watu wana fund!, ukisikia kitu kinaitwa fuelling ndio huku!.
P
Huyo wa kumpuuza Mkuu....Kwani wewe ulitegemea nini. Wao hawastahili msaada wa kuwasilisha wanachoona wanaonewa?
Haya siyo maswala yanayo wahusu wao katika maisha yao?
Mtu uta tetea vipi maswala kama haya?Mbali na hivyo wanadai kuwa kilichowashtua zaidi ni kuondolewa kwa tarafa hiyo katika orodha ya vituo vinavyotumika katika maboresho ya daftari la mpiga kura jambo linalowaashiria kuwa watakosa Haki ya kushiriki chaguzi ikiwemo wa serikali za mitaa mwaka huu 2024 na hata ule mkuu wa 2025