Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwanza hii tabia ya wamasai kutotaka kuishi na watanzania wengine ipigwe marufuku waondoke haraka sana huko maporini shenzi hawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanganyika ilishazikwa 1964 kwa hoja bora kabisa za baba wa taifa hayati JKN(Rip)....Mimi ni MTANGANYIKA, kura yangu ya Urais 2025 nitapiga KITANGANYIKA!
Exquisite [emoji7][emoji7][emoji7]Jikite kwenye hoja,taarabu peleka Kizimkazi Kuna tamasha.
Kwamba Masai ambao wanahamishwa Kwa staha Kwa maslahi ya Nchi wao ni nani hata wasitii mamlaka? Kila kabila likisema lipiganie walipozaliwa hayo Madini ya huko Mara yatawafaidisha nyie watu wa Kilolo?
Ndiyo inayonunua pikipiki za mgaoBado kuna maeneo kama Simanjiro, na Longido yanangoja uchaguzi ufanyike ila pesa isha tolewa na watu walisha kula na huenda ndio itatumika kwenye uchaguzi ujao
Hizo ni siasa chafu,Cha msingi Masai wahamie Kwa maslahi ya uhifadhi ,Ardhi ya kuwapa ipo na Kila kituNdiyo inayonunua pikipiki za mgao
Mkuu una hoja ila mbona maneno makali sana kaka yangu ?!!!Kwanza hii tabia ya wamasai kutotaka kuishi na watanzania wengine ipigwe marufuku waondoke haraka sana huko maporini shenzi hawa.
[emoji7]Naamini kuna ufafanuzi juu ya hili,tusiwe wepesi wa kupata habar na kufikia hitimisho
[emoji7][emoji7]Hizo ni siasa chafu,Cha msingi Masai wahamie Kwa maslahi ya uhifadhi ,Ardhi ya kuwapa ipo na Kila kitu
Wananiudhi kwasababu wanaona kama wanaonewa kumbe serikali imewavumilia sana hawa watanzania wenzetu.Mkuu una hoja ila mbona maneno makali sana kaka yangu ?!!!
#SayNoToBigotry
#SayNoToRacism
Peace & Love
Iringa kabila ni Moja tu na hakunaga mjinga mjinga anaweza karibia tuko very powerful 😂😂😂Jikite kwenye hoja,taarabu peleka Kizimkazi Kuna tamasha.
Kwamba Masai ambao wanahamishwa Kwa staha Kwa maslahi ya Nchi wao ni nani hata wasitii mamlaka? Kila kabila likisema lipiganie walipozaliwa hayo Madini ya huko Mara yatawafaidisha nyie watu wa Kilolo?
Jamii ya wagogo Mko powerful? Makabila powerful Yako Njombe nyie wahehe ni kabila la machawa na wanoko (usalama) na ndio maana hakuna matajiri huko sawa na wafipa na Waha japo Waha wamestuka wanasaka pesa saizi nyie mpo mpo tuu 🤣🤣Iringa kabila ni Moja tu na hakunaga mjinga mjinga anaweza karibia tuko very powerful 😂😂😂
Karibu Kilolo 😀
Serikali n nini? Na nikweli anamiliki mwarabu? Ukifika eneo hilo nasikia simu (network) zinasoma welcome UAE ni kweli? Na kama ndivyo kule UAE Kuna sehemu ukifika unakaribishwa na minara (network)welcom Tanzania?Wananiudhi kwasababu wanaona kama wanaonewa kumbe serikali imewavumilia sana hawa watanzania wenzetu.
Hata mimi naona hii ni siasa tu! Hivi mtu anaishi porini huko hana huduma za afya na mahitaji ya msingi kama watoto kusoma!Kwanza hii tabia ya wamasai kutotaka kuishi na watanzania wengine ipigwe marufuku waondoke haraka sana huko maporini shenzi hawa.
Siasa gani? wanahamishwa anapewa Mwarabu ndio siasa? fuvu lako limebeba kamasi?Hata mimi naona hii ni siasa tu! Hivi mtu anaishi porini huko hana huduma za afya na mahitaji ya msingi kama watoto kusoma!
Mbona wanahamishwa na kupewa makazi nyumba na malisho bado wanabwabwaja tu!
Huo ni uzushi kwa wanaharakati wanaolipwa huko nje kwa maslahi wanayoyajua. Sheria za nchi hii kuhusu ardhi huzijui? Hakuna eneo alilouziwa mwarabu. Maeneo ya hifadhi baadhi yamekodishwa kwa wawekezaji na hakuna ubaya kwakuwa sheria zimefuatwa. Sasa hao wamasai wanataka serikali iwaachie wachunge ng'ombe huku hawalipi Kodi huo upuuzi haupo. Ardhi ni mali ya serikali siyo ya wamasai.Serikali n nini? Na nikweli anamiliki mwarabu? Ukifika eneo hilo nasikia simu (network) zinasoma welcome UAE ni kweli? Na kama ndivyo kule UAE Kuna sehemu ukifika unakaribishwa na minara (network)welcom Tanzania?
Nani kakwambia hiyo sehemu yenye vyanzo vya maji na ushiroba wa wanyama kapewa Muarabu na ni yupi.Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.
Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025
Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.
Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro huku wenyeji wakiteseka.
Samia hataki hata wamasai wapige kura kwa sasa na hili ni agizo la Mwarabu ndie anaye endesha Ngongongoro.Pale ni Arabus Republic of Ngorongoro.
Huwezi amini hii ni Bongo, Viongozi wasio kuwa na uchungu na hili Taifa wanauza nchi kama njugumawe.
Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
Dah MWarabu kaamua, na ni yeye anaye amrisha Serikali isipeleke huduma kwa raia walio bakia Ngorongoro. Mwarabu ndie anaye amrisha.Mwarabu ni shida sana
Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
Kabila gani nchini linapewa chakula,maji na scholarship bure?Serikali ingewasikiliza Wamasai wa Ngorongoro. (1) Kama kuhama ilikuwa ni kwa hiari Je wale waliokataa kuhama mbona hawatendewi haki?. (2) Kwa nini NCAA kwa sasa hivi haitoi mahitaji ya lazima kama chakula, scholarships kwa wanafunzi, maji ya kunywa, ukarabati wa shule, vyoo nk. (3) Kwa nini Serikali imefuta Tarafa ya Ngorongoro kama eneo la upigaji kura kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Binafsi kuhama kwa Wamasai kutoka Ngorongoro ninaisapoti sana lakini haya yote yangefanyika kwa awamu na kwa njia ya maelewano. Kule Msomera wengi wao wamekwishazoea na hawapendi kurudi tena Ngorongoro.