Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabila gani nchini linapewa chakula,maji na scholarship bure?
Wazee wa Kimasai wanaendelea kuoa wake wengi na kuzaa watoto wengi wakijua kuna chakula,maji elimu, malisho bureee, vijana wakifika miaka 25 nao wanageuza rika wanakuwa nao wazee🤣 hakuna kufanya kazi. Ndio sababu wanaokuja mjini wanaishia kulala ulizi na kuuza dawa na viatu vya matairi wamepata msingi mbovu.
Ni kweli katika jamii ambayo iko nyuma sana kutokana na kupuuzia elimu ni Wamasai japo wapo walosoma ila majority hasa wanaokaa porini huko maisha ni hovyo sana!
 
Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
Kwani huko kwingine hakujauzwa, au ni kutojuwa tu kinacho endelea kila mahali hapa nchini.
Mapori ya 'Carbon Credit', wananchi wana weza kuyatumia?

Mnapo ruhusu serikali ovu kama hii kufanya mambo kimya kimya kwa kujiita 'Chura Kiziwi', tayari hapo mnauzwa, mtake msitake. Kwa sababu hakuna chochote mnachoweza kuhoji na kukataa kisifanyike.

Samia atakuwa kiongozi katika historia ya nchi hii ambaye ameweza kuwauza watu wake huku akitabasamu.
 
Masikini Ndugu zetu Wamasai mbona wamefanywa kuwa RAIA wa DARAJA la PILI?!! second class citizens...🥺
Unayo hakika gani wewe hapo ulipo bado hujauzwa? Hebu jichunguze vizuri kama bado upo salama!

Kuuzwa kuna kuja kwa njia mbalimbali.
 
1723995393703.png

1723995466833.png
 
Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.

Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.

Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro huku wenyeji wakiteseka.

Samia hataki hata wamasai wapige kura kwa sasa na hili ni agizo la Mwarabu ndie anaye endesha Ngongongoro.Pale ni Arabus Republic of Ngorongoro.

Huwezi amini hii ni Bongo, Viongozi wasio kuwa na uchungu na hili Taifa wanauza nchi kama njugumawe.

Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.

Dah MWarabu kaamua, na ni yeye anaye amrisha Serikali isipeleke huduma kwa raia walio bakia Ngorongoro. Mwarabu ndie anaye amrisha.Mwarabu ni shida sana

Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
Mungu awatetee wanaoonewa!
 
Mama kizimkazi anazingua sana ,yanini kuwaondoa hao wamaasai hapo ngorngoro? Wapeleke hao waarabu huko Tanga kama unaona wa maana........Mitano Tena.
 
Bi mkubwa issue ya Tanganyika itamuangusha asubuhi na mapema sana! Amekalia kuti kavu ni muda tu.
 
2026 kuendelea ni ni wakati nchi itauzwa kama Dagaaa wa Mwanza, yaani nchi itanadiwa kwa mwenye cha juu ndie atapewa, na Waarabu kwa sasa wanakusanya pesa za mafuta waje kuinunua Tanzania
Asdiye lielewa hili atakuwa ni sehemu ya hao wanao uza, anafaidika na kuuzwa; kama hao mawaziri na wabunge wote wanaotumiwa.
 
Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.

Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
Hayo mabango sio ya wafugaji wa Kimaasai hiyo ni kazi ya large format printing kijijini Ngorongoro itoke wapi?!, hii maana yake kuna nguvu fulani behind the scenes inayowachochea hawa wamasai na sio Wamasai wenyewe tuu peke yao, na large format printing cost money, hivyo kuna watu wana fund!, ukisikia kitu kinaitwa fuelling ndio huku!.
P
 
Kwani wewe ulitegemea nini. Wao hawastahili msaada wa kuwasilisha wanachoona wanaonewa?
Haya siyo maswala yanayo wahusu wao katika maisha yao?
 
Mbali na hivyo wanadai kuwa kilichowashtua zaidi ni kuondolewa kwa tarafa hiyo katika orodha ya vituo vinavyotumika katika maboresho ya daftari la mpiga kura jambo linalowaashiria kuwa watakosa Haki ya kushiriki chaguzi ikiwemo wa serikali za mitaa mwaka huu 2024 na hata ule mkuu wa 2025
Mtu uta tetea vipi maswala kama haya?
 
Back
Top Bottom