Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
U
Kwani hao Waarabu wamepewa eneo hilo kulima au kujenga?, hujui kuwa hata uvunaji wa wanyapori kwa uwindaji wa kitalii ni uhifadhi?.
P
Kwa hio unaspoti Raia kuhamishwa maenei yao ya asili waliko zaliwa na kupewa wawekezaji? Uwindaji wa kitakiu au utorishaji wa wanyama nje? wewe hujui lilote kuhusu anacho fanya MWarabu, anaye kuambia mwarabu anafanya utalii wa uwindaji ni nani?Yule ana hamisha wanyama.
 
Matumanini gani? Ile ni Aridhi ya Waarabu kwa sasa na unatakiwa kuomba ruhusa kwao ili uende pale, usione bado raia wanapita kuelekea Serengeti na Musoma ukadhani ni eneo la nchi.
Huyo mwarabu ataondoka tu
Kumekucha
 
Hivi ni kweli kumeletwa Waarabu ?!
Mbona naona kama ni jambo gumu kuamua kufanya hivyo kizalendo ?!
 
Kabla ya Ngorongoro kuwa Hifadhi tayari ni nyumbani kwao,

Kabla ya kuwa na Rais Wamasai walikuwepo Ngorongoro,

Kabla ya Samia kuwa Rais wameshapita Marais na wazalendo wa Taifa, Ngorongoro ni kwa Wamasai.

Amtafutie Mwarabu eneo lingine la kujenga hotels na kuchimba madini, Wamasai waendelee kuwepo kwenye ardhi yao ya Ngorongoro.

Mimi ni MTANGANYIKA, kura yangu ya Urais 2025 nitapiga KITANGANYIKA!
 
Naamini wakazi Wana back up ya wenye mamlaka wasioonekana!

Nimeona Bangor lenye kiingereza kilichonyooka hapo sawa!!

Juzi wafanyabiashara,kabla chadema waliandamana,Leo wamasai,siku Ile ilikua walim mbeya huko,naona true movement for change!!!

Sawa!
 
kama kweli bado sehemu chache auze naomba hizo sehemu ziwe ni Mbeya na Iringa.
Aguse kwingine aniachie mikoa yangu
 
Wamasai wa mchongo huwa hawapigi kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…