Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwani hao Waarabu wamepewa eneo hilo kulima au kujenga?, hujui kuwa hata uvunaji wa wanyapori kwa uwindaji wa kitalii ni uhifadhi?.Uhifadhi gani na walisha wapa Waarabu?
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao Waarabu wamepewa eneo hilo kulima au kujenga?, hujui kuwa hata uvunaji wa wanyapori kwa uwindaji wa kitalii ni uhifadhi?.Uhifadhi gani na walisha wapa Waarabu?
Kwa hio unaspoti Raia kuhamishwa maenei yao ya asili waliko zaliwa na kupewa wawekezaji? Uwindaji wa kitakiu au utorishaji wa wanyama nje? wewe hujui lilote kuhusu anacho fanya MWarabu, anaye kuambia mwarabu anafanya utalii wa uwindaji ni nani?Yule ana hamisha wanyama.Kwani hao Waarabu wamepewa eneo hilo kulima au kujenga?, hujui kuwa hata uvunaji wa wanyapori kwa uwindaji wa kitalii ni uhifadhi?.
P
Huyo mwarabu ataondoka tuMatumanini gani? Ile ni Aridhi ya Waarabu kwa sasa na unatakiwa kuomba ruhusa kwao ili uende pale, usione bado raia wanapita kuelekea Serengeti na Musoma ukadhani ni eneo la nchi.
Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.
Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025
Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.
Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro huku wenyeji wakiteseka.
Samia hataki hata wamasai wapige kura kwa sasa na hili ni agizo la Mwarabu ndie anaye endesha Ngongongoro.Pale ni Arabus Republic of Ngorongoro.
Huwezi amini hii ni Bongo, Viongozi wasio kuwa na uchungu na hili Taifa wanauza nchi kama njugumawe.
Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
Dah MWarabu kaamua, na ni yeye anaye amrisha Serikali isipeleke huduma kwa raia walio bakia Ngorongoro. Mwarabu ndie anaye amrisha.Mwarabu ni shida sana
Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
mteja alishapatikanaKuanzia 2026 utauzwa
Ngorongoro imegeuzwa kuwa uridhi wa mwarabu na kizazi chakeNgororongo ni turathi ya dunia.....
Ardhi ni mali ya dola na si ya wananchi....
Nape 🙌Mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakani juna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.
Unguja na Pemba nzima waoifa jura hawazidi 500,000
Kupanga ni kuchagua
Wamasai wa mchongo huwa hawapigi kura!Mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakani juna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.
Unguja na Pemba nzima waoifa jura hawazidi 500,000
Kupanga ni kuchagua
Wamasai wanasemabira wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM