Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Wamasai on trending 😂😂👍Mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakani kuna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.
Unguja na Pemba nzima wapiga kura hawazidi 500,000
Kupanga ni kuchagua
Wamasai wanasema bora wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM
Vitu viwili tofauti....Ipo siku tutaambiwa Waha tunaozunguuka ziwa Tanganyika tuhamie Tabora Sikonge, tunaharibu mazingira na mazalia ya samaki
Jibu mujarabu kabisaaa, zingekuwa zinamletea madhara angefanya after uchaguzi, but then kwake anaweza without hizoAnaweza kushinda bila hizo
...niko nao hapa huu wa bi mkubwa wako[emoji1787]Tuliza mkundu huyo bi mkubwa ni laana.
Napendekeza Tanganyika ikawe imejitegemea yenyew maana serikali hainamsaada zaidi yakutujazia vumbi kigoma mkoa mkubwa inaweza kua nchi ya Ahadi😂Vitu viwili tofauti....
Kwani WAHA mnaishi ndani ya ziwa TANGANYIKA ?!!!
Wewe mjamaa vipi ?[emoji1787]
Ngororongo ina eneo la mraba kilomita 8200 ,ndani yake kuna raia wanaishi na MIFUGO YAO ISIYO WANYAMA PORI.....
#Nchi Kwanza[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tukafanye nini ?!!Bora huko,huyu atatupeleka Burundi
Unamaanisha ndugu zetu wa Burundi wahamie ndani ya ziwa Tanganyika ama ninyi ndugu zetu wa Kigoma mhamie humo ziwani Tanganyika mkaishi na mizimu na majini ya kiafrika ?!! [emoji16][emoji1787][emoji1787]Napendekeza Tanganyika ikawe imejitegemea yenyew maana serikali hainamsaada zaidi yakutujazia vumbi kigoma mkoa mkubwa inaweza kua nchi ya Ahadi[emoji23]
[emoji7][emoji7]Kura laki 5 na manufaa ya watanzania Milioni 60 na ushee unachagua kipi?
Ukiwa Ccm na akili inakua ndogoKura laki 5 na manufaa ya watanzania Milioni 60 na ushee unachagua kipi?
Kwanini mnachukia wawekezaji ? Au mlikua mnanufaika na mfumo uliopo?Huo mgao wa waarabu umekufikia?au umenufaikaje
Wewe unawakilisha kundi kubwa la wajinga ambao hamjui kuwa ngorongoro inachangia karibu 15 % ya mapato yote ya nchi hii fedha ambazo mnajengewa Barabara huko makete huduma za kijamii kama maji elimu na afya.Manufaa kivipi hebu fafanua manufaa gani ??kwa mimi mkazi wa mbalache hapa makete?!
Una amini kuna uchaguzi? Ile formula ya Nape unaisahau? Angekuwa anasema uongo hangefukuzwa.Mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakani kuna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.
Unguja na Pemba nzima wapiga kura hawazidi 500,000
Kupanga ni kuchagua
Wamasai wanasema bora wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM
Si anategemea dola itamsaidia kuiba kuraMwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakani kuna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.
Unguja na Pemba nzima wapiga kura hawazidi 500,000
Kupanga ni kuchagua
Wamasai wanasema bora wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM
[emoji7]Wewe unawakilisha kundi kubwa la wajinga ambao hamjui kuwa ngorongoro inachangia karibu 15 % ya mapato yote ya nchi hii fedha ambazo mnajengewa Barabara huko makete huduma za kijamii kama maji elimu na afya.
Aliyekuambia kuwa Samia anahitaji kura toka kwa wapiga kura kakudanganya, huyo ameshahakikishiwa kura za maruhani toka Tume ya Uchaguzi, Polisi na TISS hizo za kwenye maboksi hazihitaji.Mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakani kuna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.
Unguja na Pemba nzima wapiga kura hawazidi 500,000
Kupanga ni kuchagua
Wamasai wanasema bora wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM
Kwa mujibu wa Nape atatangazwa ameshinda mtake msitakeAnaweza kushinda bila hizo
Kweli kabisaKwani kwa CCM kura zina maana yoyote? Hizo Kura atazipata tu hata kama hatapigiwa hata kura moja. CCM ni hakimu anayeamua kesi yake mwenyewe. Haiwasumbui hilo.
Nape alihukumiwa kwa kutoa siriKwa mujibu wa Nape atatangazwa ameshinda mtake msitake