Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Wamasai on trending 😂😂👍Mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakani kuna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.
Unguja na Pemba nzima wapiga kura hawazidi 500,000
Kupanga ni kuchagua
Wamasai wanasema bora wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM