Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
President must think twice about this Maasai eviction…this will cost much our tourism and economy at large! Let maasai decide if they want to move …not to deny them they are social and basic need!
 
Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.

Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.
View attachment 3073146
Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro huku wenyeji wakiteseka.
View attachment 3073147
Samia hataki hata wamasai wapige kura kwa sasa na hili ni agizo la Mwarabu ndie anaye endesha Ngongongoro.Pale ni Arabus Republic of Ngorongoro.
View attachment 3073151

Huwezi amini hii ni Bongo, Viongozi wasio kuwa na uchungu na hili Taifa wanauza nchi kama njugumawe.
View attachment 3073152
Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
View attachment 3073154

Dah MWarabu kaamua, na ni yeye anaye amrisha Serikali isipeleke huduma kwa raia walio bakia Ngorongoro. Mwarabu ndie anaye amrisha.Mwarabu ni shida sana

Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
Kwamba wao ni spesho sana au? Wangekuwa wanafukuzwa bila kupewa chochote sawa ila wanahamishwa Kwa staha na kupewa Ardhi ,fidia na stahiki zingine kwa maslahi mapana ya Hifadhi na Nchi hapo Ngorongoro.

Hata kama sio Mwarabu kuwekeza kama inavyopotoshwa ,angekuwa John Bado wangehamishwa.
 
Ngororongo ni turathi ya dunia.....

Ardhi ni mali ya dola na si ya wananchi....
 
Wasio na nia njema wameanza kutumia hoja za waarabu na uarabu kumshambulia Rais wa nchi.....

Ni mipango mahsusi....

Mipango kama hii si ya kuichekea hata kidogo......

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
Kwa kuwa mh.Rais SSH ni mzanzibari ,basi maadui wa taifa wameamua kuzitumia hoja dhaifu za uarabu na waarabu.....

Hawa si wa kuwachekea hata sekunde..

#JMT milele dumu[emoji7]
 
Kwa kuwa mh.Rais SSH ni mzanzibari ,basi maadui wa taifa wameamua kuzitumia hoja dhaifu za uarabu na waarabu.....

Hawa si wa kuwachekea hata sekunde..

#JMT milele dumu[emoji7]
Tuliza mshono shabiki.
 
Wasio na nia njema wameanza kutumia hoja za waarabu na uarabu kumshambulia Rais wa nchi.....

Ni mipango mahsusi....

Mipango kama hii si ya kuichekea hata kidogo......

#Nchi Kwanza[emoji7]
Amejichanganya itamsumbua sana
 
2026 kuendelea ni ni wakati nchi itauzwa kama Dagaaa wa Mwanza, yaani nchi itanadiwa kwa mwenye cha juu ndie atapewa, na Waarabu kwa sasa wanakusanya pesa za mafuta waje kuinunua Tanzania
Ulishirikishwa katika kikao na hao waarabu wakipanga mipango hiyo miovu ya kuinunua Tanzania ?!!
 
Kwamba wao ni spesho sana au? Wangekuwa wanafukuzwa bila kupewa chochote sawa ila wanahamishwa Kwa staha na kupewa Ardhi ,fidia na stahiki zingine kwa maslahi mapana ya Hifadhi na Nchi hapo Ngorongoro.

Hata kama sio Mwarabu kuwekeza kama inavyopotoshwa ,angekuwa John Bado wangehamishwa.
KWa nini wahamishwe sehemu waliko zaliwa? Unaweza enda Kuhamisha Waarabu kule jwao na kumpatia mwekezaji? au unaweza enda Marekani jimbo moja pale ukahamisha wale raia na kumpatia mwekezaji? wacha kutetea ujinga
Ulishirikishwa katika kikao na hao waarabu wakipanga mipango hiyo miovu ya kuinunua Tanzania ?!!
Huna unacho jua wewe, ngojea
 
KWa nini wahamishwe sehemu waliko zaliwa? Unaweza enda Kuhamisha Waarabu kule jwao na kumpatia mwekezaji? au unaweza enda Marekani jimbo moja pale ukahamisha wale raia na kumpatia mwekezaji? wacha kutetea ujinga

Huna unacho jua wewe, ngojea
Wewe unayejua niambie basi mimi nisiyekijua hicho kikao ulichokaa na hao waarabu wanaotaka kuinunua nchi yetu pendwa...

Tatizo sisi vijana wa leo hatupendi kusoma....baba wa taifa alihamisha watu maeneo yao wakaanzishe vijiji..mbali na kwao....
 
Ujanja ujanja tu. Uchawa, ukunguni. Ukipingana nao ww ni mtuhumiwa, ukitaka kula nao ww sema Wanapiga mwingi.
 
Kwamba wao ni spesho sana au? Wangekuwa wanafukuzwa bila kupewa chochote sawa ila wanahamishwa Kwa staha na kupewa Ardhi ,fidia na stahiki zingine kwa maslahi mapana ya Hifadhi na Nchi hapo Ngorongoro.

Hata kama sio Mwarabu kuwekeza kama inavyopotoshwa ,angekuwa John Bado wangehamishwa.
Awesome [emoji7][emoji7]
 
Back
Top Bottom