Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni wezi na wanatengeneza masikini wengi sana ili wawahinhe TShirt na KofiaCCM ni majambazi
Kwamba wao ni spesho sana au? Wangekuwa wanafukuzwa bila kupewa chochote sawa ila wanahamishwa Kwa staha na kupewa Ardhi ,fidia na stahiki zingine kwa maslahi mapana ya Hifadhi na Nchi hapo Ngorongoro.Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.
Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.
View attachment 3073146
Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro huku wenyeji wakiteseka.
View attachment 3073147
Samia hataki hata wamasai wapige kura kwa sasa na hili ni agizo la Mwarabu ndie anaye endesha Ngongongoro.Pale ni Arabus Republic of Ngorongoro.
View attachment 3073151
Huwezi amini hii ni Bongo, Viongozi wasio kuwa na uchungu na hili Taifa wanauza nchi kama njugumawe.
View attachment 3073152
Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
View attachment 3073154
Dah MWarabu kaamua, na ni yeye anaye amrisha Serikali isipeleke huduma kwa raia walio bakia Ngorongoro. Mwarabu ndie anaye amrisha.Mwarabu ni shida sana
Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
Wawekezaji K wewe.Na waarabu ni kinanani katika hii nchi
Waueni na hao sasa kama mlivyozoea kuua wengineNgororongo ni turathi ya dunia.....
Ardhi ni mali ya dola na si ya wananchi....
Tuliza mshono shabiki.Kwa kuwa mh.Rais SSH ni mzanzibari ,basi maadui wa taifa wameamua kuzitumia hoja dhaifu za uarabu na waarabu.....
Hawa si wa kuwachekea hata sekunde..
#JMT milele dumu[emoji7]
Amejichanganya itamsumbua sanaWasio na nia njema wameanza kutumia hoja za waarabu na uarabu kumshambulia Rais wa nchi.....
Ni mipango mahsusi....
Mipango kama hii si ya kuichekea hata kidogo......
#Nchi Kwanza[emoji7]
Ulishirikishwa katika kikao na hao waarabu wakipanga mipango hiyo miovu ya kuinunua Tanzania ?!!2026 kuendelea ni ni wakati nchi itauzwa kama Dagaaa wa Mwanza, yaani nchi itanadiwa kwa mwenye cha juu ndie atapewa, na Waarabu kwa sasa wanakusanya pesa za mafuta waje kuinunua Tanzania
Hakuna usumbufu wowote kwa kuwa hakuna hoja zenye mashiko dhidi yake....Amejichanganya itamsumbua sana
Hapa niko na lile shazia kubwa kuushona huo mshono wako....Tuliza mshono shabiki.
KWa nini wahamishwe sehemu waliko zaliwa? Unaweza enda Kuhamisha Waarabu kule jwao na kumpatia mwekezaji? au unaweza enda Marekani jimbo moja pale ukahamisha wale raia na kumpatia mwekezaji? wacha kutetea ujingaKwamba wao ni spesho sana au? Wangekuwa wanafukuzwa bila kupewa chochote sawa ila wanahamishwa Kwa staha na kupewa Ardhi ,fidia na stahiki zingine kwa maslahi mapana ya Hifadhi na Nchi hapo Ngorongoro.
Hata kama sio Mwarabu kuwekeza kama inavyopotoshwa ,angekuwa John Bado wangehamishwa.
Huna unacho jua wewe, ngojeaUlishirikishwa katika kikao na hao waarabu wakipanga mipango hiyo miovu ya kuinunua Tanzania ?!!
Hiyo ardhi mliyojengea hoteli na mume wako nayo pia ni mali ya dola....je wameshawaua tayari ?!!!Waueni na hao sasa kama mlivyozoea kuua wengine
Wewe unayejua niambie basi mimi nisiyekijua hicho kikao ulichokaa na hao waarabu wanaotaka kuinunua nchi yetu pendwa...KWa nini wahamishwe sehemu waliko zaliwa? Unaweza enda Kuhamisha Waarabu kule jwao na kumpatia mwekezaji? au unaweza enda Marekani jimbo moja pale ukahamisha wale raia na kumpatia mwekezaji? wacha kutetea ujinga
Huna unacho jua wewe, ngojea
Matusi hayatakuondolea huo umasikini unaokuandama kila konaHiyo ardhi mliyojengea hoteli na mume wako nayo pia ni mali ya dola....je wameshawaua tayari ?!!!
Awesome [emoji7][emoji7]Kwamba wao ni spesho sana au? Wangekuwa wanafukuzwa bila kupewa chochote sawa ila wanahamishwa Kwa staha na kupewa Ardhi ,fidia na stahiki zingine kwa maslahi mapana ya Hifadhi na Nchi hapo Ngorongoro.
Hata kama sio Mwarabu kuwekeza kama inavyopotoshwa ,angekuwa John Bado wangehamishwa.