Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu maza hafai kabisaBado kuna maeneo kama Simanjiro, na Longido yanangoja uchaguzi ufanyike ila pesa isha tolewa na watu walisha kula na huenda ndio itatumika kwenye uchaguzi ujao
Sasa tutashughulika nayeAnauza kwa maboya huku
Wamechoka kuondolewa na kupewa MwarabuMaasai hakika wamechoka na mambo haya...leo wameamua kuingia barabarani,.wanaifunga njia ya Ngorongoro.Wageni wanaokwenda au kutoka Serengeti leo watapata changamoto ..
Ndoto zake ni kuuza Tanganyika yoteHuyu maza hafai kabisa
AmeshaiuzaNdoto zake ni kuuza Tanganyika yote
Amebakiza sehemu chacheNdoto zake ni kuuza Tanganyika yote
Mama anapiga mwingi nyambafu
Je, unataka uuzwe mara ngapi?Hii nchi tukifanya masihara tutajikuta tumeuzwa, wenzetu wamechukua chao wanaishi monaco huko.
Hii nchi hii!Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.
Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.
View attachment 3073146
Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro huku wenyeji wakiteseka.
View attachment 3073147
Samia hataki hata wamasai wapige kura kwa sasa na hili ni agizo la Mwarabu ndie anaye endesha Ngongongoro.Pale ni Arabus Republic of Ngorongoro.
View attachment 3073151
Huwezi amini hii ni Bongo, Viongozi wasio kuwa na uchungu na hili Taifa wanauza nchi kama njugumawe.
View attachment 3073152
Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
View attachment 3073154
Dah MWarabu kaamua, na ni yeye anaye amrisha Serikali isipeleke huduma kwa raia walio bakia Ngorongoro. Mwarabu ndie anaye amrisha.Mwarabu ni shida sana
Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.