Wamasai ni watu poa sana!

Akili zingine za kipumbavu sana. Umarioo.uko wapi hapo na ni mtu na mkewe hapo wanashirikiana maisha yaende.
Achana na mtoa post mkuu anaonekana ni under 17 wakubwa tumeelewa
 
Nijivute msomera taratibu
Anyway umeongea vizuri sana ila kiuhalisia wamasai na warangi ndio wife material waliobaki tz
Sio wamasai tu,kuna jamaa yangu kaoa mbulu ndani ndani aisee taratibu zao zinavutia sana! Kwanza hakuna kitu kinacho mrudisha mwanamke kwao zaidi ya salam tu,na salam mwisho kukaa ni wiki Tu unarudi kwako kama nauli mumeo hajakupa Kwa kuwa na kipato haba utapewa! Na kama kuna mgogoro mtaitwa wote muwe counseled! Kuna dada aliolewa na jamaa badae mumewe akawa anamzingua akataka aolewe na jamaa mwingine aliambiwa kama unataka kuolewa na mume mwingine tafuta Kwa kwenda kumtambulisha Sisi tunamtambua yeye Tu kama kuna shida tutamwita tuongee! Mwingine alikuwa hapelekewi Moto vizuri na jamaa yake akarudi kwao aachane na mumewe alivyo Kwa wiki wakaona anazidi Ku extend muda maana hakusema tatizo lake nini akaja kusema badae wakamwambia Rudi Kwa mumeo punguza ubinafsi je siku akiugua asiwe na uwezo hata wa kufanya chochote si utamuuza hata yeye! Kifupi ukipata mke aliye lelewa ki maadili wanakuwa wake Safi sana! Nimeona hivyo hata Kwa wakulya nk
 
Unaposema mbulu ndani huko unamaanisha hawa wanaoitwa wairaq?
 
Wewe kabila gani mkuu umesahau kuweka hicho kituo, maana najuaga wamasai km Wahindi kuolewa na Mswahili mwingine tofauti na mmasai mwenzao ni kipengele, Wewe kabila lako ni lipi?
 
Siku zote nilifikiri raia wa kawaida huwezi kuoa kwa urahisi tu binti wa Kimasai!
Ndio IPO hivyo huwezi hapa tunachangamsha Genge TU ukitaka kuthibitisha mwambie aweke Picha ya yeye na mkewe na Mama mkwe au Baba mkwe wa kimasai atakwambia Hana nini sio Chai ya Tangawizi hii umemwelewa Maziwa
 
Acha kudanganya watu kuna mshkaji mtwara mjini kaoa mmasai
 
Ndugu zangu wa Kataa ndoa watapinga hii!!😂
 
Ndio IPO hivyo huwezi hapa tunachangamsha Genge TU ukitaka kuthibitisha mwambie aweke Picha ya yeye na mkewe na Mama mkwe au Baba mkwe wa kimasai atakwambia Hana nini sio Chai ya Tangawizi hii umemwelewa Maziwa
wamasai wapo tamaduni tofauti sio wote wako hivyo kuna wamasai wa town hawa kina morell mbona wako fresh tu mmasai sio lazima avae rubega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…