mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Hongera mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mtoa post mkuu anaonekana ni under 17 wakubwa tumeelewaAkili zingine za kipumbavu sana. Umarioo.uko wapi hapo na ni mtu na mkewe hapo wanashirikiana maisha yaende.
Sio wamasai tu,kuna jamaa yangu kaoa mbulu ndani ndani aisee taratibu zao zinavutia sana! Kwanza hakuna kitu kinacho mrudisha mwanamke kwao zaidi ya salam tu,na salam mwisho kukaa ni wiki Tu unarudi kwako kama nauli mumeo hajakupa Kwa kuwa na kipato haba utapewa! Na kama kuna mgogoro mtaitwa wote muwe counseled! Kuna dada aliolewa na jamaa badae mumewe akawa anamzingua akataka aolewe na jamaa mwingine aliambiwa kama unataka kuolewa na mume mwingine tafuta Kwa kwenda kumtambulisha Sisi tunamtambua yeye Tu kama kuna shida tutamwita tuongee! Mwingine alikuwa hapelekewi Moto vizuri na jamaa yake akarudi kwao aachane na mumewe alivyo Kwa wiki wakaona anazidi Ku extend muda maana hakusema tatizo lake nini akaja kusema badae wakamwambia Rudi Kwa mumeo punguza ubinafsi je siku akiugua asiwe na uwezo hata wa kufanya chochote si utamuuza hata yeye! Kifupi ukipata mke aliye lelewa ki maadili wanakuwa wake Safi sana! Nimeona hivyo hata Kwa wakulya nkNijivute msomera taratibu
Anyway umeongea vizuri sana ila kiuhalisia wamasai na warangi ndio wife material waliobaki tz
Unaposema mbulu ndani huko unamaanisha hawa wanaoitwa wairaq?Sio wamasai tu,kuna jamaa yangu kaoa mbulu ndani ndani aisee taratibu zao zinavutia sana! Kwanza hakuna kitu kinacho mrudisha mwanamke kwao zaidi ya salam tu,na salam mwisho kukaa ni wiki Tu unarudi kwako kama nauli mumeo hajakupa Kwa kuwa na kipato haba utapewa! Na kama kuna mgogoro mtaitwa wote muwe counseled! Kuna dada aliolewa na jamaa badae mumewe akawa anamzingua akataka aolewe na jamaa mwingine aliambiwa kama unataka kuolewa na mume mwingine tafuta Kwa kwenda kumtambulisha Sisi tunamtambua yeye Tu kama kuna shida tutamwita tuongee! Mwingine alikuwa hapelekewi Moto vizuri na jamaa yake akarudi kwao aachane na mumewe alivyo Kwa wiki wakaona anazidi Ku extend muda maana hakusema tatizo lake nini akaja kusema badae wakamwambia Rudi Kwa mumeo punguza ubinafsi je siku akiugua asiwe na uwezo hata wa kufanya chochote si utamuuza hata yeye! Kifupi ukipata mke aliye lelewa ki maadili wanakuwa wake Safi sana! Nimeona hivyo hata Kwa wakulya nk
Ndio mkuuUnaposema mbulu ndani huko unamaanisha hawa wanaoitwa wairaq?
Mkuu kama unamaanisha ni wale walio kama wazungu naipinga hoja yakoNdio mkuu
Ndio hao hao mkuu ni wake waziri sana japo wajanja wajanja wa mjini wapo makabila yoteMkuu kama unamaanisha ni wale walio kama wazungu naipinga hoja yako
Wewe kabila gani mkuu umesahau kuweka hicho kituo, maana najuaga wamasai km Wahindi kuolewa na Mswahili mwingine tofauti na mmasai mwenzao ni kipengele, Wewe kabila lako ni lipi?Mwez wa kumi na mbili mama mkwe anakuja kumshka mtot yaan mjukuu wake sasa mke amenitonya nitafute pesa ya sherehe kama milioni 3 maana yeye kaambiwa na mama yake watakuja na milioni 14 kwa wamasai ndiyo desturi yao wanaita mbesi mama kwenda kwa mtoto wake wa kike kumsalimia duh! Kweli ya Mungu mengi.
Nawapenda sana walivyo ila naambiwa ni malaya mnoNdio hao hao mkuu ni wake waziri sana japo wajanja wajanja wa mjini wapo makabila yote
Ndio IPO hivyo huwezi hapa tunachangamsha Genge TU ukitaka kuthibitisha mwambie aweke Picha ya yeye na mkewe na Mama mkwe au Baba mkwe wa kimasai atakwambia Hana nini sio Chai ya Tangawizi hii umemwelewa MaziwaSiku zote nilifikiri raia wa kawaida huwezi kuoa kwa urahisi tu binti wa Kimasai!
Acha kudanganya watu kuna mshkaji mtwara mjini kaoa mmasaiNdio IPO hivyo huwezi hapa tunachangamsha Genge TU ukitaka kuthibitisha mwambie aweke Picha ya yeye na mkewe na Mama mkwe au Baba mkwe wa kimasai atakwambia Hana nini sio Chai ya Tangawizi hii umemwelewa Maziwa
Ni kweli wengi wanasema hvo Ila ni tabia yoyote anaweza kuwa nayoNawapenda sana walivyo ila naambiwa ni malaya mno
Ndugu zangu wa Kataa ndoa watapinga hii!!😂Jana nilikuwa na binamu yangu kwenye party, yeye ni mlevi na mpenda starehe. Ni wale akitoka Ijumaa asubuhi kwenda kwenye ujasiriamali kwake anarudi Jumatatu usiku. Ile Ijumaa anaunga kazini hadi starehe, anaibuka asubuhi starehe anaenda kutafuta, hivyohivyo mpaka akirudi Jumatatu usiku ndio analala. Kwahiyo alikuwa anakaa mchafu na ananuka pombe.
Sasa jana nikashangaa mbona ametoka uzee, kanawiri, macho yamepungua wekundu na hajavimba uso. Kumbe ameoa sogea tuishi kaacha kulala viwanja na kunywa supu ya mapupu. Mke yuko strict hakuna kulala nje wala kurudi umelewa.
Binamu hadi jana tukazungumzia kilimo na viwanja, na kusafirisha mikoani. Akataja hela ambazo kabla hajawahi taja, na manunuzi ambayo hakuwa anafanya. Nikagundua tu hizi akili ni mchango wa mke wake.
Kuipata hio 3M kipengele kingine labda akabet Ila hii chai ni ya Moto sanaPambana sasa upate hiyo 3m/- ili upate 14m/-
Safi sana Mkuu.
Ndio ni Maofisa warekebishaji emu wape Jina elekeziNawapenda sana walivyo ila naambiwa ni malaya mno
Nilipi chimbo nitapata hao watoto wazuri kwahuko manyara?Ni kweli wengi wanasema hvo Ila ni tabia yoyote anaweza kuwa nayo
chana no mkuu utachapiwa na mtaa mzimaNdio mkuu
wamasai wapo tamaduni tofauti sio wote wako hivyo kuna wamasai wa town hawa kina morell mbona wako fresh tu mmasai sio lazima avae rubegaNdio IPO hivyo huwezi hapa tunachangamsha Genge TU ukitaka kuthibitisha mwambie aweke Picha ya yeye na mkewe na Mama mkwe au Baba mkwe wa kimasai atakwambia Hana nini sio Chai ya Tangawizi hii umemwelewa Maziwa