Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
katesh babati ila hanang ndio unapata vya kienyeji na mbulu land og tabia ndio zile zile mama urumaNilipi chimbo nitapata hao watoto wazuri kwahuko manyara?
Zali mm mnyaturu aiseeWewe kabila gani mkuu umesahau kuweka hicho kituo, maana najuaga wamasai km Wahindi kuolewa na Mswahili mwingine tofauti na mmasai mwenzao ni kipengele, Wewe kabila lako ni lipi?
Og kivipi?katesh babati ila hanang ndio unapata vya kienyeji na mbulu land og tabia ndio zile zile mama uruma
Kwa hiyo wewe kwa sasa unatambulika pia kama baba yeyoo na mke wako ni mama yeyoo!!
Na mimi ngoja nitafute binti wa kuoa wa Kimasai. Siku zote nilifikiri raia wa kawaida huwezi kuoa kwa urahisi tu binti wa Kimasai!
Ni kawaidaKwa hiyo wewe kwa sasa unatambulika pia kama baba yeyoo na mke wako ni mama yeyoo!!
Na mimi ngoja nitafute binti wa kuoa wa Kimasai. Siku zote nilifikiri raia wa kawaida huwezi kuoa kwa urahisi tu binti wa Kimasai!
kuna vitu vya kukaa navyo moyoniNilibahatka kuoa binti wa kimasai, nilikuwa sina maisha napitia changamoto ya maisha lakini yeye wala hakunikimbia. Kitu alichoniambia nimtafutie shilingi elfu 35,000/= ya kufanya ujasiriamali ya kuendesha biashara ya mboga mboga kwenye minada ya wamaasai.
Huwezi amini ndani ya miaka 2 kanipga gepu ya maendeleo pakubwa, sasa hivi anauza Mavazi ya kimasai huko mnadani. Kiwanja tumenunua kwa pamoja ila yeye ndiye kachangia pakubwa.
Mwez wa kumi na mbili mama mkwe anakuja kumshka mtot yaan mjukuu wake sasa mke amenitonya nitafute pesa ya sherehe kama milioni 3 maana yeye kaambiwa na mama yake watakuja na milioni 14 kwa wamasai ndiyo desturi yao wanaita mbesi mama kwenda kwa mtoto wake wa kike kumsalimia duh! Kweli ya Mungu mengi.
Hao wamasai wa Mchongo mmasai haolewi na Mswahili wa kawaida hata iweje yupo tayari aolewe na Mzungu sio Mswahili njaa njaa wamasai sio wajingawamasai wapo tamaduni tofauti sio wote wako hivyo kuna wamasai wa town hawa kina morell mbona wako fresh tu mmasai sio lazima avae rubega
Wewe umeolewa na Mkurya?Ni kawaida
Hata boma hujengwa na wamama
Ni mila kabisa wanaume hawajengi
Hiyo spirit inasambaa vizazi na vizazi huwez mkuta mmasai anadang
sasa kina lowasa si wamasai wale π€£π€£Hao wamasai wa Mchongo mmasai haolewi na Mswahili wa kawaida hata iweje yupo tayari aolewe na Mzungu sio Mswahili njaa njaa wamasai sio wajinga
Picha ipo WapiZali mm mnyaturu aisee
Ndio wameolewa na wamasai wenzaosasa kina lowasa si wamasai wale π€£π€£
Kitu ipi?Ata wakurya naona wana hiyo kitu.
π€£π€£π€£ sdhan lakn wanasema inategemea asil ya familia zao kama bab aliku jambaz lazma kwenye hyo kzaz kitakuwa na jambaz ndy maana wenyew kabla kija kuoa lazma familia wakae wachukuze kama kulikuwa na mam mshrkna awatakubali kjana wao kwenda kweny hyo bomaHuyo awe mmasai aliyekulia kijijini au kalelewa vyema.
Mimi nina experience mbaya na wamasai..
Baby mama wangu ni mmasai wa hapa mjini na huyo demon nusura anitoe roho..
Pc ya shemej yako au pc ya nn?Picha ipo Wapi
Alikua ni City Demon au sio?Huyo awe mmasai aliyekulia kijijini au kalelewa vyema.
Mimi nina experience mbaya na wamasai..
Baby mama wangu ni mmasai wa hapa mjini na huyo demon nusura anitoe roho..
Huyo mkeoPc ya shemej yako au pc ya nn?
Tayari uzi upo hata kabla ya huuTafuta uoe na Wewe ufungue uzi
π ππ hapna aiseee iv code yako ya akaunt utaweza weka kwa public hii mkuu utanisameeHuyo mkeo