Wamasai ni watu poa sana!

Wamasai ni watu poa sana!

Wewe kabila gani mkuu umesahau kuweka hicho kituo, maana najuaga wamasai km Wahindi kuolewa na Mswahili mwingine tofauti na mmasai mwenzao ni kipengele, Wewe kabila lako ni lipi?
Zali mm mnyaturu aisee
 
Aise mimi natafuta mmasai au mwanamke wa kirombo
Kwa hiyo wewe kwa sasa unatambulika pia kama baba yeyoo na mke wako ni mama yeyoo!!

Na mimi ngoja nitafute binti wa kuoa wa Kimasai. Siku zote nilifikiri raia wa kawaida huwezi kuoa kwa urahisi tu binti wa Kimasai!
 
Huyo awe mmasai aliyekulia kijijini au kalelewa vyema.
Mimi nina experience mbaya na wamasai..
Baby mama wangu ni mmasai wa hapa mjini na huyo demon nusura anitoe roho..
 
Ni kawaida
Hata boma hujengwa na wamama
Ni mila kabisa wanaume hawajengi
Hiyo spirit inasambaa vizazi na vizazi huwez mkuta mmasai anadang
 
Nilibahatka kuoa binti wa kimasai, nilikuwa sina maisha napitia changamoto ya maisha lakini yeye wala hakunikimbia. Kitu alichoniambia nimtafutie shilingi elfu 35,000/= ya kufanya ujasiriamali ya kuendesha biashara ya mboga mboga kwenye minada ya wamaasai.

Huwezi amini ndani ya miaka 2 kanipga gepu ya maendeleo pakubwa, sasa hivi anauza Mavazi ya kimasai huko mnadani. Kiwanja tumenunua kwa pamoja ila yeye ndiye kachangia pakubwa.

Mwez wa kumi na mbili mama mkwe anakuja kumshka mtot yaan mjukuu wake sasa mke amenitonya nitafute pesa ya sherehe kama milioni 3 maana yeye kaambiwa na mama yake watakuja na milioni 14 kwa wamasai ndiyo desturi yao wanaita mbesi mama kwenda kwa mtoto wake wa kike kumsalimia duh! Kweli ya Mungu mengi.
kuna vitu vya kukaa navyo moyoni
 
wamasai wapo tamaduni tofauti sio wote wako hivyo kuna wamasai wa town hawa kina morell mbona wako fresh tu mmasai sio lazima avae rubega
Hao wamasai wa Mchongo mmasai haolewi na Mswahili wa kawaida hata iweje yupo tayari aolewe na Mzungu sio Mswahili njaa njaa wamasai sio wajinga
 
Hao wamasai wa Mchongo mmasai haolewi na Mswahili wa kawaida hata iweje yupo tayari aolewe na Mzungu sio Mswahili njaa njaa wamasai sio wajinga
sasa kina lowasa si wamasai wale 🤣🤣
 
Huyo awe mmasai aliyekulia kijijini au kalelewa vyema.
Mimi nina experience mbaya na wamasai..
Baby mama wangu ni mmasai wa hapa mjini na huyo demon nusura anitoe roho..
🤣🤣🤣 sdhan lakn wanasema inategemea asil ya familia zao kama bab aliku jambaz lazma kwenye hyo kzaz kitakuwa na jambaz ndy maana wenyew kabla kija kuoa lazma familia wakae wachukuze kama kulikuwa na mam mshrkna awatakubali kjana wao kwenda kweny hyo boma
 
Huyo awe mmasai aliyekulia kijijini au kalelewa vyema.
Mimi nina experience mbaya na wamasai..
Baby mama wangu ni mmasai wa hapa mjini na huyo demon nusura anitoe roho..
Alikua ni City Demon au sio?
 
Back
Top Bottom