Basi na Sisi hatuwezi kuamini mmasai kuolewa na kumkata majani ya Ng'ombe kabla tofauti na lake ni ngumu kumezaπ ππ hapna aiseee iv code yako ya akaunt utaweza weka kwa public hii mkuu utanisamee
ila ukwl ndy ivo mtt wakke yupo uhuru yy apagiw kama wanaume maana mwanaume pga uwa mam bab bb babu lazma wamwambie tunaitaji mwali awe mmasai ndyo wanaamn ili usje ukaleta dam ambayo awaijui asli yao we chunguza tuBasi na Sisi hatuwezi kuamini mmasai kuolewa na kumkata majani ya Ng'ombe kabla tofauti na lake ni ngumu kumeza
Heeh mrangi nae!?, basi hapo nimekusoma inaelekea warangi wa vijijni wana adabu lakin hawa mjini ukiwakuta kwa mfano Dar,hawa hapana. Ni kweli humu vijijni mabinti wengi wamelelewa vizuri kimaadili,kuna jamaa kao Mbulu aisee yule dada ana heshima sana na ni mtu wa dini sanaNijivute msomera taratibu
Anyway umeongea vizuri sana ila kiuhalisia wamasai na warangi ndio wife material waliobaki tz
Unasema Mwanamke wa kimasai hapangiwi Mume masai dada Prishaz naomba msaada hapo naingizwa Chaka hukuila ukwl ndy ivo mtt wakke yupo uhuru yy apagiw kama wanaume maana mwanaume pga uwa mam bab bb babu lazma wamwambie tunaitaji mwali awe mmasai ndyo wanaamn ili usje ukaleta dam ambayo awaijui asli yao we chunguza tu
Yaan anaambiwa lakn yy awekew mkazo kama mwanaume anaambiwa tafuta mtu wakwnu ila ukpata ambayo anamapcha pcha ishnae kwa uwaangalizo maana wao ofu yao kubwa mtt wao ataweza chezewa akachwa ikawa aibu ya kwao kweny boma nakuleta pcha mbaya yaan wanaamn ni laana hyo itakuwa asil yaweza pta kzaz meng ikajurudia tena bnt kuzalishwa na kuwachwaUnasema Mwanamke wa kimasai hapangiwi Mume masai dada Prishaz naomba msaada hapo naingizwa Chaka huku
Hahah jf banaMama yeyoo nipe ile kitu namesa mwensie
Kumchagulia marafiki inawezekanaHuu mtihani Sasa maana kumchagulia mtu marafiki ni almost impossible
Ukimpata muiraqi straight from mbulu ni wife material ila akifika mjini umwekee mipaka ya kuzoeana na vidada vidangaji na vijanja janja. Wairaqi hao wakijaga mjini wakakosa mtu wa kumcontrol huwa wanakitombesha sanaMkuu kama unamaanisha ni wale walio kama wazungu naipinga hoja yako
Ni kweli ukimpata Mke abayejielewa hata uwe na kipato kidogo utapata ustawi tuJana nilikuwa na binamu yangu kwenye party, yeye ni mlevi na mpenda starehe. Ni wale akitoka Ijumaa asubuhi kwenda kwenye ujasiriamali kwake anarudi Jumatatu usiku. Ile Ijumaa anaunga kazini hadi starehe, anaibuka asubuhi starehe anaenda kutafuta, hivyohivyo mpaka akirudi Jumatatu usiku ndio analala. Kwahiyo alikuwa anakaa mchafu na ananuka pombe.
Sasa jana nikashangaa mbona ametoka uzee, kanawiri, macho yamepungua wekundu na hajavimba uso. Kumbe ameoa sogea tuishi kaacha kulala viwanja na kunywa supu ya mapupu. Mke yuko strict hakuna kulala nje wala kurudi umelewa.
Binamu hadi jana tukazungumzia kilimo na viwanja, na kusafirisha mikoani. Akataja hela ambazo kabla hajawahi taja, na manunuzi ambayo hakuwa anafanya. Nikagundua tu hizi akili ni mchango wa mke wake.
Kweli na shida huanzia kwa mashoga malaya malayaUkimpata muiraqi straight from mbulu ni wife material ila akifika mjini umwekee mipaka ya kuzoeana na vidada vidangaji na vijanja janja. Wairaqi hao wakijaga mjini wakakosa mtu wa kumcontrol huwa wanakitombesha sana
Sio kweli., nishawahi kuwa na demu wa kimasai tukapotezana almost 1.5 year nimekuja kuonana nae ana macho matatu, kuanzia ijumaa mpaka jmosi ni kulewa tu viwanja. Alitaka tupashe kipolo nikachomoa maana amekua mdangaji mashuhuri.huwez mkuta mmasai anadang
Ukikoswa koswa na mdudu.....huyo automatically anajiuzaSio kweli., nishawahi kuwa na demu wa kimasai tukapotezana almost 1.5 year nimekuja kuonana nae ana macho matatu, kuanzia ijumaa mpaka jmosi ni kulewa tu viwanja. Alitaka tupashe kipolo nikachomoa maana amekua mdangaji mashuhuri.
Mbona wameoana wao wenyewe kwa wenyewe na wanahishi maisha hayo hayo ya njaa njaa tunawaona hapa mjini. Sema wana-prefer tu kuwa wao wenyewe kwa wenyewe lakini couple zao ambazo njaa kali zipoMswahili njaa njaa wamasai sio wajinga
Wakina dada wakija mjini wafikie moja kwa moja chini ya uangalizi wa mtu mzima mwenye familia lakini wakipokelewa na marafiki zao tu uko magetoni hakuna cha masai, mkurya wala nani nani sijui wote wanaangukia kwenye udangaji.Ukikoswa koswa na mdudu.....huyo automatically anajiuza
You are Right.....wale malaya wana waringishia kuwa wanapata peda ndefu kutoka kwa wanaume.....na kwa kuwa wanatoka vijijini wakiwa wamechoka kimaisha huku Sura na umbo zao zinalipa basi hujikuta wanaingia kwenye huo mtego wa mateso.Wakina dada wakija mjini wafikie moja kwa moja chini ya uangalizi wa mtu mzima mwenye familia lakini wakipokelewa na marafiki zao tu uko magetoni hakuna cha masai, mkurya wala nani nani sijui wote wanaangukia kwenye udangaji.
Mimi mwenyewe nina mpango wa kwenda kuchukua jiko kijijini nikiset mipango tu naongea na wazee wananitafutie mali safi acha nionekane mshamba tu. Kwa sasa nakomaa na hii hii migume gume ya town kwanza mwendo ni ule ule hit and run.Heeh mrangi nae!?, basi hapo nimekusoma inaelekea warangi wa vijijni wana adabu lakin hawa mjini ukiwakuta kwa mfano Dar,hawa hapana. Ni kweli humu vijijni mabinti wengi wamelelewa vizuri kimaadili,kuna jamaa kao Mbulu aisee yule dada ana heshima sana na ni mtu wa dini sana
Nina mpango nifanye ziara ya kutembelea huko nikapate kibintiKaratu
WARANGI WATOE BRO WARANGI WATOE.Nijivute msomera taratibu
Anyway umeongea vizuri sana ila kiuhalisia wamasai na warangi ndio wife material waliobaki tz
Kila la kheri.Nina mpango nifanye ziara ya kutembelea huko nikapate kibinti
ππππ vijana wanataka kuoa pisi kali ili wasifiwe na kuonekana wajanja.WARANGI WATOE BRO WARANGI WATOE.
Kama unataka kulia oa mrangi.