Wamasai wa Ngorongoro wanatumika na mabeberu kumchafua Rais Samia?

Wamasai wa Ngorongoro wanatumika na mabeberu kumchafua Rais Samia?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kwa namna mama anavyo lishughulikia suala la wamasai wa Ngorongoro hakika anastahili pongezi.

Ni kwa njia shirikisho na jumuishi. Sasa hawa Wamasai wanachopigia kelele mpaka kwenye vyombo vya kimataifa kama Al Jazeera ni kipi?

Na Al Jazeera kinachowafanya waendeshe mjadala hiyo jana wa upande mmjoja tu bila ya kupata maoni ya serikali lengo lao ni nini? Ni kuwatumia wamasai kumchafua Rais Samia?

N.B. Mods hapo kwenye heading neno wanatumia lisomeke WANATUMIKA

IMG_20220228_225646_802.jpg
 
Taingia lini Kenya akawa Beberu?

Al Jazeera Africa Mashariki Ofisi zao zipo Kenya na Kenya ndo mwenye maslahi makubwa na Ngorongoro maana Ngorongoro ikifa kifuatacho ni kufa kwa Serengeti na zikifa hizi mbili basi Kenya kakamata Soko la Utalii Africa Mashariki

Taarifa za kuichafua Tanzania kuhusu uamuzi wa kuwaondoa wamasai Ngorongoro zinapewa airtime na Media za Kenya na waandishi waliopo Kenya kama mkakati maalumu wa kiujasusi!

Pia wamasai waliojaa Loliondo na Ngorongoro wengi wanatoka Kenya na wanakuwa influenced kuja pale kimkakati

Suala la Ngorongoro uamuzi umeshafanyika na hakuna kurudi nyuma.

Hakuna ardhi ya mtu Tanzania hivyo watapelekwa sehemu nyingine full stop!
 
Nyie msafisheni kama Wamaasai wanamchafua.
 
Taingia lini Kenya akawa Beberu?

Al Jazeera Africa Mashariki Ofisi zao zipo Kenya na Kenya ndo mwenye maslahi makubwa na Ngorongoro maana Ngorongoro ikifa kifuatacho ni kufa kwa Serengeti na zikifa hizi mbili basi Kenya kakamata Soko la Utalii Africa Mashariki...
Kama uamuzi umeshafanyika, hapa naunga mkono... Hawa watu wafurushwe mapema na haraka mno
 
Swala la ngorngoro nipo upande wa Serikali. Hawa watu wasichekewa hata kidogo, wafurushwe mara moja. Napendekeza Serkali iuwatumie JWTZ na iwe Special Operation kuwaondoa mara moja.

Wakenya siyo watu wazuri kabisa. Wanataka kuua Ngorngoro na Serengeti ili Mbuga zao zipate soko, mazuzu tumebaki kuwakingia kifua Wamasai
 
Huyo mwarabu akipewa tutaleta mjadala mwengine ila kuondoka kwa wakazi ndani ya Ngorongoro is inevitable
Kwa hili naunga mkono hoja... Operation ya kuwaondoa wakabidhiwe JWTZ na iwe na time frame
 
Taingia lini Kenya akawa Beberu?

Al Jazeera Africa Mashariki Ofisi zao zipo Kenya na Kenya ndo mwenye maslahi makubwa na Ngorongoro maana Ngorongoro ikifa kifuatacho ni kufa kwa Serengeti na zikifa hizi mbili basi Kenya kakamata Soko la Utalii Africa Mashariki...
Sawa waondolewe ni jambo jema ila wasipewe waarabu wa Dubai.
 
Taingia lini Kenya akawa Beberu?

Al Jazeera Africa Mashariki Ofisi zao zipo Kenya na Kenya ndo mwenye maslahi makubwa na Ngorongoro maana Ngorongoro ikifa kifuatacho ni kufa kwa Serengeti na zikifa hizi mbili basi Kenya kakamata Soko la Utalii Africa Mashariki....
Waafrika ni hopeless kabisa.

Wazungu mpaka Karne hii wanawahesbu waafrika kuwa ni wanyama wa porini Kwa sababu ya ujinga wa baadhi ya watu kuwatumia waafrika wenzetu kama kivutio Kwa kuwaunganisha na wanyama Kwa vishawishi vya fedha.

Wapumbavu na malofa wanafikiri wazungu wanazitumia vizuri picha za watoto wa kimasai kunywa maji kwenye mto pamoja na fisi. Hawajui kuwa zile picha zinatumika kuwaonyesha watoto wao kule ulaya kuwa waafrika Bado ni wajinga na ni wanyama wanaoishi maporini. Waafrika hawana akili na sio binadamu sawa na wazungu. Ndio maana kamwe Mzungu hatakuja kumheshimu Mwafrika na kumwona kama binadamu Mwenzake.

Watu wanaacha kupeleka watoto shule jambo ambalo ni kosa Kwa Sheria zetu lakini wanaachwa TU waendelee kufuga ndani ya hifadhi pasipo na huduma muhimu za kijamii.

Wanapotosha sana bila kufahamu kuwa Hifadhi zote zinawenyeji wa asili ila waliondolewa na kuzuiwa kufuga kwenye Hifadhi. Wafugaji wote wanauwezo wa kufuga kwenye Hifadhi bila kuwaogopa wanyama ,suala linalowazuia ni Sheria za kuhifadhi Mbuga zetu ziwe endelevu.

Wamasai wahamishwe wapewe maeneo Bora yasiyo na wanyama ili wapate huduma za kijamii na washiriki katika uzalishaji na kuendesha maisha yao bila kukaa maporini na wanyama
 
Swala la ngorngoro nipo upande wa Serikali.. Hawa watu wasichekewa hata kidogo... wafurushwe mara moja.. Napendekeza Serkali iuwatumie JWTZ na iwe Special Operation kuwaondoa mara moja....

Wakenya siyo watu wazuri kabisa .. Wanataka kuua Ngorngoro na Serengeti ili Mbuga zao zipate soko.. mazuzu tumebaki kuwakingia kifua Wamasai
Tukimalizana na wamasai tuwaondoe wachaga kilimanjaro maana kuna mpango wa kuongeza urefu wa mlima.

Halafu wachaga ni wezi sana.
 
Kwa namna mama anavyo lishughulikia suala la wamasai wa Ngorongoro hakika anastahili pongezi.

Ni kwa njia shirikisho na jumuishi. Sasa hawa Wamasai wanachopigia kelele mpaka kwenye vyombo vya kimataifa kama Al Jazeera ni kipi...
Acha wapige kelele dunia isikie ujinga wenu.
 
Back
Top Bottom