Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Umepewa ngapi dada angu?Wacheni Propaganda za kijinga... Hakuna Mwarabu wala yeyote atakaye pewa... wamasai Wafurushwe mara moja ndani ya Ngorngoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepewa ngapi dada angu?Wacheni Propaganda za kijinga... Hakuna Mwarabu wala yeyote atakaye pewa... wamasai Wafurushwe mara moja ndani ya Ngorngoro
Wa LoliondoMwarabu gani apewe ardhi?
Hakuna masai ataondoka kwenye ardhi akeHuyo mwarabu akipewa tutaleta mjadala mwengine ila kuondoka kwa wakazi ndani ya Ngorongoro is inevitable
Jamaa ni wajinga sana. Yaani kuna mambo unayasoma humu unakuta wewe pia ni sehemu ya wahusika ila namna watu wanayaelezea huku wakijivika ujuaji inasikitishaIli waarabu wapewe ardhi ya wamasai? shame on you
Tenakama ni wamasai kutoka kenya, wasipelekwe maeneo ya mkoa wa arusha au manyara, wapelekwe mapori ya kataviTaingia lini Kenya akawa Beberu?
Al Jazeera Africa Mashariki Ofisi zao zipo Kenya na Kenya ndo mwenye maslahi makubwa na Ngorongoro maana Ngorongoro ikifa kifuatacho ni kufa kwa Serengeti na zikifa hizi mbili basi Kenya kakamata Soko la Utalii Africa Mashariki
Taarifa za kuichafua Tanzania kuhusu uamuzi wa kuwaondoa wamasai Ngorongoro zinapewa airtime na Media za Kenya na waandishi waliopo Kenya kama mkakati maalumu wa kiujasusi!
Pia wamasai waliojaa Loliondo na Ngorongoro wengi wanatoka Kenya na wanakuwa influenced kuja pale kimkakati
Suala la Ngorongoro uamuzi umeshafanyika na hakuna kurudi nyuma.
Hakuna ardhi ya mtu Tanzania hivyo watapelekwa sehemu nyingine full stop!
Hakuna ardhi ya mtu? Mbona mliwauzia waarabu loliondoTaingia lini Kenya akawa Beberu?
Al Jazeera Africa Mashariki Ofisi zao zipo Kenya na Kenya ndo mwenye maslahi makubwa na Ngorongoro maana Ngorongoro ikifa kifuatacho ni kufa kwa Serengeti na zikifa hizi mbili basi Kenya kakamata Soko la Utalii Africa Mashariki
Taarifa za kuichafua Tanzania kuhusu uamuzi wa kuwaondoa wamasai Ngorongoro zinapewa airtime na Media za Kenya na waandishi waliopo Kenya kama mkakati maalumu wa kiujasusi!
Pia wamasai waliojaa Loliondo na Ngorongoro wengi wanatoka Kenya na wanakuwa influenced kuja pale kimkakati
Suala la Ngorongoro uamuzi umeshafanyika na hakuna kurudi nyuma.
Hakuna ardhi ya mtu Tanzania hivyo watapelekwa sehemu nyingine full stop!
Wa DubeiMwarabu gani apewe ardhi?
Wamasai waondolewe ili kulinda wanyama pori. Lazima tukubali ukweli shughuli za kibinadamu zinazidi kuongezeka kadri wanavyoongezeka kuzaliana.
Kwa namna mama anavyo lishughulikia suala la wamasai wa Ngorongoro hakika anastahili pongezi.
Ni kwa njia shirikisho na jumuishi. Sasa hawa Wamasai wanachopigia kelele mpaka kwenye vyombo vya kimataifa kama Al Jazeera ni kipi?
Na Al Jazeera kinachowafanya waendeshe mjadala hiyo jana wa upande mmjoja tu bila ya kupata maoni ya serikali lengo lao ni nini? Ni kuwatumia wamasai kumchafua Rais Samia?
N.B. Mods hapo kwenye heading neno wanatumia lisomeke WANATUMIKA
View attachment 2135708
Wachaga wanaishi maisha yao binafsi na kupata huduma za kijamii. Wamasai wataachwa pale mpaka lini wakati hakuna huduma za kijamii? Hakuna hata vyoo. Hakuna kuendeleza maeneo yao Kwa kujenga shule nzuri ,Barabara , Miundo mbinu kama umeme, maji n.k . Tunataka watoto wa kimasai wajichanganye na watu wengine mashuleni ,masokoni ,kwenye nyumba za ibada ili kuondoa ukabila na kujiona wao Wana haki Fulani za tofauti na watu wengine ,tukiendelea kuwaacha Wamasai na Mila zao TU huku makabila mengine yakiwa yanafanya shughuli tofauti na kujichanganya basi Kuna siku kutaibuka kabila Moja lenye ukabila mbaya sana. Mpaka Leo Wamasai ndilo kabila linaloongoza Kwa Ukabila mana Hawaoi Wala kuolewa na makabila mengine zaidi ya Vijana wao kuolewa na mamama ya Kizungu na kupelekwa ulaya Kama mbinu za kujipatia kipato huku wakiacha watoto wadogo wakichunga ngombe bila kwenda shule.Tukimalizana na wamasai tuwaondoe wachaga kilimanjaro maana kuna mpango wa kuongeza urefu wa mlima.
Halafu wachaga ni wezi sana.
Hizi roho chafu sijui huwa mnazitoa wapi, simply swala la kuwatoa watu kwenye ardhi walioiishi miaka na miaka ni kuwafurusha??Wacheni Propaganda za kijinga... Hakuna Mwarabu wala yeyote atakaye pewa... wamasai Wafurushwe mara moja ndani ya Ngorngoro
Kwahiyo wao hawaoni umuhimu wa hivyo unavyovitaja?? Hahahaha ila watu bwana😅.Wachaga wanaishi maisha yao binafsi na kupata huduma za kijamii. Wamasai wataachwa pale mpaka lini wakati hakuna huduma za kijamii? Hakuna hata vyoo. Hakuna kuendeleza maeneo yao Kwa kujenga shule nzuri ,Barabara , Miundo mbinu kama umeme, maji n.k . Tunataka watoto wa kimasai wajichanganye na watu wengine mashuleni ,masokoni ,kwenye nyumba za ibada ili kuondoa ukabila na kujiona wao Wana haki Fulani za tofauti na watu wengine ,tukiendelea kuwaacha Wamasai na Mila zao TU huku makabila mengine yakiwa yanafanya shughuli tofauti na kujichanganya basi Kuna siku kutaibuka kabila Moja lenye ukabila mbaya sana. Mpaka Leo Wamasai ndilo kabila linaloongoza Kwa Ukabila mana Hawaoi Wala kuolewa na makabila mengine zaidi ya Vijana wao kuolewa na mamama ya Kizungu na kupelekwa ulaya Kama mbinu za kujipatia kipato huku wakiacha watoto wadogo wakichunga ngombe bila kwenda shule.
Serikali inakosea sana kwa sababu ya kuwa na wapigaji wengi waliojigawia na kumiliki ardhi kubwa bila kujiendeleza. Wamasai na wafugaji wengine walitakiwa wawe wamedhibitiwa muda mrefu sana ili wafuge ngombe wachache kwenye maeneo yao waliotengewa sio kuzurura kila mahali na kueneza ukabila. Makabila yote ya Wafugaji Bado Wana elements za kikabila tofauti na wakulima Kwa sababu wanafuga Kikoo.
Wafugaji wa kuhamahama inakuwaje hawataki kuhama Ngorongoro?
Bila shaka Kuna watu wanawachochea ili waendelee Kupiga zile bil.3 za mamlaka za Hifadhi ya Ngorongoro kila mwaka.
Dawa ni serikali kukata mirija ya kugawa fungu hilo.
Excellent!!!!Swala la ngorngoro nipo upande wa Serikali. Hawa watu wasichekewa hata kidogo, wafurushwe mara moja. Napendekeza Serkali iuwatumie JWTZ na iwe Special Operation kuwaondoa mara moja.
Wakenya siyo watu wazuri kabisa. Wanataka kuua Ngorngoro na Serengeti ili Mbuga zao zipate soko, mazuzu tumebaki kuwakingia kifua Wamasai
Ukweli Mchungu ....kuna utumwa wa kisirisiri huko haswa Childlabor...Hivi mnafahamu Kuna zaidi ya bilioni nane huwa wanapewa akina Ole Ngurumwa na wamasai wengine walioko kwenye kale ka-NGO kao ka upigaji kwamba hizo zinaelekezwa kusaidia jamii za wafugaji wa kimasai?
Tutakuja kuleta hapa ushahidi watu matakaa kimya na jamaa hakuna wanachofanya no wonder wao ndio wapiga kelele wakati walengwa wenyewe wapo maopirini na mashuka yao tu.
Nakusanya data zote nimepita TANAPA kujipatia ukweli.
Unajua yawezekana kuna namna inafanyika huko Ila hawa wamasai wanaoongelewa kuondolewa ni wale ambao wanakaa ndani ya Mbuga na ukiingia kwenye Crater utakuta ng'ombe wanachungwa na wale Layon (laibon) .Ukweli Mchungu ....kuna utumwa wa kisirisiri huko haswa Childlabor...