Wamasai wa Ngorongoro wanatumika na mabeberu kumchafua Rais Samia?

Ukisema Kenya wanataka Serengeti ife wajidanganya, survival ya baadhi ya wanyama ktl hifadhi ya serengeti inategemea Maasai Mara, Vivyo hivyo kwa Mara inategemea Serengeti....this is how ecosystem works.

Hivyo sidhani kama utatamani uue kitu kinachokufaidisha. Labda ungesema Kenya wanatamani wangepewa Mlima Kilimanjaro!!

Pia, kuipa hoja yako ungekuja na statistics kuwa Tanzania inapokea wageni kiasi gani hadi Kenya wawatamani.

Kwa taarifa yako Kenya inajulikana duniani naweza sema mara 30 zaidi ya Tanzania (najua hapa nitatukanwa). Ziko sababu nyingi ya Kenya kujulikana mbali na riadha na ushirika mzuri na hao muitao mababeru ambao waliitangaza enzi zile hunting tourism ikiwa ni mojawapo ya pride kwa wakwasi wa majuu.

Wamasai wana haki ya kujitetea kwa sababu ni ardhi tangu vizazi na vizazi. Leo tende na halua za OBC zinataka watu wawatoe ndugu zetu kuwa kafara kwa pretext ya uwekezaji.

Ubuntu daima, I strongly stand with Maasai
 
Long story short ni Wamasai lazima waondoke Ngorongoro jambo la muhimu kwa sasa Wanaharakati ni kujadili ni kwa namna gani wanaondoka na wanaenda maeneo gani?
Umemaliza. Imeisha hiyo master 🙌
 
Ukisema Kenya wanataka Serengeti ife wajidanganya, survival ya baadhi ya wanyama ktl hifadhi ya serengeti inategemea North Mara, Vivyo hivyo kwa North Mara inategemea Serengeti....this is how ecosystem works...
North Mara ndo wapi huko? Au ni mgodini kwenye dhahabu?
 
Kwa namna mama anavyo lishughulikia suala la wamasai wa Ngorongoro hakika anastahili pongezi.

Ni kwa njia shirikisho na jumuishi. Sasa hawa Wamasai wanachopigia kelele mpaka kwenye vyombo vya kimataifa kama Al Jazeera ni kipi...
Chukua jiki na maji umsafishe wewe kila anapochafuliwa na wamasai.
 
Pole sana na mawazo hayo kwanza haujui ngorongoro pili haujui kwanini wamasai wanatolewa pale jiulize kwanza hayo alafu ndio uje useme kua hakuna mtu mwenye aridhi Tanzania

Lakini pia nikuwakikishie tu kua ngorongora haondoki mtu hata kwa mtutu kwanza Mimi naona wanachelewa sana kuja kututoa yaani wajaribu tu hili la ngorongoro watajua hawajui
 
Pole sana na mawazo hayo kwanza haujui ngorongoro pili haujui kwanini wamasai wanatolewa pale jiulize kwanza hayo alafu ndio uje useme kua hakuna mtu mwenye aridhi Tanzania

Lakini pia nikuwakikishie tu kua ngorongora haondoki mtu hata kwa mtutu kwanza Mimi naona wanachelewa sana kuja kututoa yaani wajaribu tu hili la ngorongoro watajua hawaj
 
 
Pengine una matatizo ya ubongo, kama wanamchafua kamsafishe sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…